PatriceLumumba
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 426
- 581
HABARI,Paypal ni nzuri sana na ita boost sana our economy. Lakini hicho ndo kitakuwa kifo cha mpesa,tigopesa etc. Paypal gharama ya kutoa pesa ni kama bure...wakati mpesa ukitoa 10000 wanakata 1300...zaidi ya 13%.
Serikali ndo chanzo cha makato ya miamala kuwa kubwa.
Serikali haiwezi kukubali kupoteza hii peHABARI,
mike2k:
Hapa Tunachozungumzia ni malipo ya mtu kulipwa kutoka Nje ya Nchi hasa Ulaya na Marekani kwa kazi za mitandaoni Na mfumo huo wa malipo hauusiani na malipo ya kutopa moja kwa moja hapana.Kwanza nikujulishe paypal ni online wallet unafungua acount na kuweka peza zako kule mtandaoni kwa kutumia Email yako unayoamini .Pesa yako ikiwa mtandaoni sasa unaweza kumlipa mtu au kununua kitu au wewe kulipwa mtandaoni kwa kutumia hiyo account yako.Sasa kinacho ongelewa hapa ni kwamba hizo mpesa n.k ndizo ambazo tunaomba Serikali iziruhusu ili waweze kufanya kazi na hiyo paypal ikiwa na maana mtu akilipwa paypal anaweza kuitoa kwenye paypal account yake ikaja mpesa awe kuweka kutoka mpesa kwenda paypal wao mpesa,tigo pesa nk wataendelea na hudumazao kama kawaida.
MPESA kenya tayari wanafanya hicho kitu.
LUMUMBA