Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima ni art maana science wengi tena wa miaka hiyo walishaajiriwaUalimu wako ni wa masomo gani kalamu nyekundu?
Ukisoma vizuri hapo juu, mimi nina kazi nimeajiriwa na serikali. Ila lengo nikutafuta kazi ya kufanya kwa muda wangu nilionao wa ziada nimesema masaa 7 kwa siku. Ninathamini muda sana, kwa sasa niko free nahitaji mtu wa kuniajiri nimfanyie kazi online si kwa kufundisha tu bali nina ujuzi mwingine nimetaja hapo juu. Asante.Lazima ni art maana science wengi tena wa miaka hiyo walishaajiriwa
Sijar =sijaliUkiona nimeandika hivyo ujue fo really nipo serious na ninachokiongea. Sijar kukatishwa tamaa na wengi ila wachache watakaonihitaji nitawasiliana nao na mwisho nitapata ninachohitaji. Asante.
Tafuta uzi wa Google Adsense, keyword zinalipa zaidi kwa sasa na masharti yao. Humo humu JF. Fungua blog ila tumia blogsot ni nyepesi sana. Kisha tafuta template na custom domain. Unaweza tumia za kulipia kama .com au ya bure kama .tk, ga.Asante ndugu ila forex hapana nshaijaribu, nilisoma hadi vitab na kumpata mentor ila mambo yakawa ndivo sivyo
Ndio, naweza kufundisha mkuu. Article ya maneno 2000 waeza kulipa $40 tu. Karibu sana.Kwa article ya maneno 2000 unacharge kiasi kwa neno? Unaweza kufundisha Kiswahili kwa watu ambao hawajui Kiswahili kabisa?
*Mwalimu wa history anahitajika feza boys* *secondary*Ukiwa una uhitaji wa Mwalimu wa English language, History kuanzia msingi mpaka vyuo nafundisha, Ms Word na Excel.