Blagoveshchensk
Member
- Feb 25, 2018
- 90
- 76
McubicSamahani Dr Slaa
Dah...[emoji2960]
Bwana wetu YESU CHRISTO kupitia Nabii wake TB Joshua alikuja kumpa taarifa na ujumbe wa kinabii Ndg Edward Lowassa kuwa atakuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuanzia mwaka 2020.
Kusema kuwa CCM wamemtuma ENL kwenda CDM ni uongo na chukizo kwa MUNGU.
Amini usiamini ENL ni Rais mwaka 2020. JPM alisimikwa kwa kazi maalumu (kuandaa mazingira kwa ajili ya ENL)
Aiseee' kazi ipo.

Duu

Hapa ulinenajamani Lowasa umri umeshaenda. mbona mnataka kumpa babu wa watu presha bila sababu. hana muda huo na after all anatarajiwa kurudi ccm wakati wowote
We nabii njaa unaendeleaje huko uliko na kanisa lakoSoma post yangu upya! Usitumie akili sana. Yaani relax tu ukiwa unaitafakari. Utaielewa. Sikusema Binadamu ni MUNGU.
MUNGU sio binadamu.