Tetesi: Kazi ya Sumaye ndani ya upinzani alotumwa na CCM ikiisha atarejea kama kina Msindai

Bwana wetu YESU CHRISTO kupitia Nabii wake TB Joshua alikuja kumpa taarifa na ujumbe wa kinabii Ndg Edward Lowassa kuwa atakuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuanzia mwaka 2020.

Kusema kuwa CCM wamemtuma ENL kwenda CDM ni uongo na chukizo kwa MUNGU.

Amini usiamini ENL ni Rais mwaka 2020. JPM alisimikwa kwa kazi maalumu (kuandaa mazingira kwa ajili ya ENL)
Dah...[emoji2960]
 
Aiseee' kazi ipo.
 
Duu
 
jamani Lowasa umri umeshaenda. mbona mnataka kumpa babu wa watu presha bila sababu. hana muda huo na after all anatarajiwa kurudi ccm wakati wowote
Hapa ulinena
 
Soma post yangu upya! Usitumie akili sana. Yaani relax tu ukiwa unaitafakari. Utaielewa. Sikusema Binadamu ni MUNGU.

MUNGU sio binadamu.
We nabii njaa unaendeleaje huko uliko na kanisa lako
 
Back
Top Bottom