Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Nashukuru kuliona hilo.Tujitahidi kuwashauri watoto,wadogo,kaka zetu waliojiluwa wasifanye makosa yaliyofanywa na wenzao,wameishapoteza miaka kadhaa mtaani wanatakiwa wawe smart.Akina Dada ndio tabu sana hukutana na matapeli wa mapenzi kisha hutapeliwa mishahara yao kupitia mikopo na majamaa huingia mitini na pesa na kuwatelekeza.Sijui kwa nini serikali haina vitengo vya ku washauri(mantorship) hawa vijana mpaka wanaharibikiwa.Nimeshuhudia wengi sana wakipoteza muelekeo.Umeongea kitu kikubwa mno
ππππKuna bitoz mmoja alikwenda vijijini kwa kazi hiyo.
Siku namtembelea nikakuta amevaa ndala anatokae darasani kufundisha nikajisemea tayari kijiji kimemmeza
Mhh!!!Off course ukipenda boda penda na UA lake...
Bila kusahau wale wa Same milimani- lugulu, vudee, myamba, kilangale, chome, suji, chanjagaa, bombo, mshiwi, ntenga nk pia mtanyooka tuπππMliopagwa halmashauri za kigoma mtanyooka tu
Speaking from experience of 5 yrs
Hii tabia ya kujidai sijui wanakijiji siyo type yako wakat unanjaa tu itakutafuna ndani kwa ndani heshimu kila mmoja, nyie ndo wale mkipata nafas mnawadharau walio chin yenu na kujiona bora zaid ya wenginekwa mabinti ni likelly kutengeneza ndoa na 'waume' walioko mijini ili wahamie huko,vinginevyo hudakwa fasta na wanakijiji wasio type yao, utakuta mvuvi au mkulima kaoa mwalimu
Ww unaonaje ?Mhh!!!