Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Kazi ya ualimu aisee ni ngumu sana kuanzia mazingira, ufanisi wa kazi pia mishahara ni ya kawaida tofauti na kazi inayofanyika.
Ukiachana na kuwafundisha Mwalimu ana-deal na kutengeneza tabia zao tena katika umri mbovu wa balehe(foolish age), unakuta watoto wamejaa viburi kichwani hakuna kitu ukiadhibu wanaona kama wanaonewa.
Nimeona ni wakati muafaka wa Mimi kujiondoa huku kwenye ualimu nifanyiwe re-categorization niende kwenye idara nyingine, je nitumie mbinu gani kutoka huku?
Maana naona "kudeal" na hii foolish age ni mtihani, huku uchanganywe na maisha, familia, serikali na bado mtoto Wa mtu asiyejitambua kuhangaika nao, naona ni ngumu sana kwangu.
NB, Nina Bsc in education physics na mathematics, nitumie mbinu gani nitoke huku niende idara nyingine?..au nikaongeze elimu?