Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Jukwaa limejaa walimu hili, Subiri uone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi fanya kubadili fani, kuna mwalimu alienda kusomea udaktari sasa hivi keshakua daktari.Ni kweli maana wapo wenzangu walioenda kuongeza elimu bado tupo nao tu
Asante kiongozi, naichukua hii maana nimechokaDah pole ndugu kama una ajira ya serikali kaongeze elimu ukiwa na mshahara huwezi kushindwa kulipa ada. Mungu akusaidie upate kazi utakayoifurahia.
Huwezi kuwa Mwalimu bila ya kufuatilia watoto kwasababu Kuna kitu kinaitwa Nidhamu wewe Kama Mwalimu unawajibu wa kufuatilia Happ ndipo lazima ukumbane na anachaondika myoa mada hata suala la taaluma, ukiwa Mwalimu kunakuwa Mwalimu was zamu, was darasa, program za shule haya yote yanakufanya ufuatilie watotoFanya maisha yako acha kufatilia watoto wa watu, timiza wajibu wako pita kushoto
Mengine ngoja wake.
90 ya graduate wamesoma corse kwaajiri ya marks zao tu, ukitaka kujua muulize kila mtoto anataka kuwa nani atasema Doctor ila akiendelea marks zina m-direct mdogomdogoHii ndoile unaenda kusomea kitu usichokipenda kwasababu marks hazijabalance.
Option ya pili ni nzuri zaidi. Kama una uhakika wa scholarship, nenda kapige Masters ya Physics, lakini jitahidi upate first class au a good upper second class. Hapo utakuwa na probability kubwa ya kuanzia na tutorial assistant na kupanda ngazi. Or else utaajiriwa katika institution zinazoapply physics kama ile ya Arusha.Kazi ya ualimu aisee ni ngumu Sana kuanzia mazingira, ufanisi Wa kazi pia mishahara ni yakawaida tofauti na kazi inayofanyika.
Ukiachana na kuwafundisha Mwalimu ana deal na kutengeneza tabia zao tena katika umri mbovu wa balehe(foolish age), unakuta watoto wamejaa viburi kichwani hakuna kitu ukiadhibu wanaona Kama wanaonewa.
Nimeona ni wakati muafaka wa Mimi kujiondoa huku kwenye ualimu nifanyiwe re-categorization niende kwenye idara nyingine, je nitumie mbinu gani kutoka huku?
Maana naona "kudeal" na hii foolish age ni mtihani, huku uchanganywe na maisha, familia, serikali na bado mtoto Wa mtu asiyejitambua kuhangaika nao, naona ni ngumu Sana kwangu.
NB, Nina Bsc in education physics na mathematics, nitumie mbinu gani nitoke huku niende idara nyingine?..au nikaongeze elimu?
Kasome CPA, ukirudi omba kubadilishwa kada unakuwa mhasibuKazi ya ualimu aisee ni ngumu sana kuanzia mazingira, ufanisi wa kazi pia mishahara ni ya kawaida tofauti na kazi inayofanyika.
Ukiachana na kuwafundisha Mwalimu ana-deal na kutengeneza tabia zao tena katika umri mbovu wa balehe(foolish age), unakuta watoto wamejaa viburi kichwani hakuna kitu ukiadhibu wanaona kama wanaonewa.
Nimeona ni wakati muafaka wa Mimi kujiondoa huku kwenye ualimu nifanyiwe re-categorization niende kwenye idara nyingine, je nitumie mbinu gani kutoka huku?
Maana naona "kudeal" na hii foolish age ni mtihani, huku uchanganywe na maisha, familia, serikali na bado mtoto Wa mtu asiyejitambua kuhangaika nao, naona ni ngumu sana kwangu.
NB, Nina Bsc in education physics na mathematics, nitumie mbinu gani nitoke huku niende idara nyingine?..au nikaongeze elimu?
This is where your problem begins! Kwasababu ya marks ulizopata ukiwa form six ulijiona you deserve better na baada ya kufika kazini ukakutana na walimu ambao kwa mtazamo wako unaona ulifaulu zaidi kuliko wao, sasa nafsi yako haijawahi kukubali maisha iliyonayo. Trust me with that kind of mind set you will keep struggling on finding a better job till dawn.Nimesoma pcb Nina div 2, nilichaguliwa nursing Hubert kairuki sikwenda kwa sababu ya ada, futa hiyo kauli kwanza
Ajabu sana, sasa ana hasara ya muda alipoteza kusomea ualimuHii ndoile unaenda kusomea kitu usichokipenda kwasababu marks hazijabalance.