Optimists
JF-Expert Member
- Oct 17, 2021
- 467
- 1,358
Nimeona mwalimu kafungwa maisha Kwa kosa la kuchapa mwanafunzi, huwezi kumsikia mkurugenzi, afsa elimu au mtu yoyote anaehusiana na mwalimu kufika mahabusu kumsalimia au kumtia moyo ukizingatia hiyo mwalimu alikuwa anafanya kazi ya mkurugenzi.
Siku zote nawashauri walimu nenda shule kazuge zuge ikifika saa nne nenda chini ya mti mbali kidogo na shule kavute zako fegi mpaka saa 7 Rudi shule kazuge zuge ikifika saa 8 nenda kwenye mitikasi yako, mwisho wa mwezi kachukue hela yako ndogo ukale na familia yako.
Imagine Kuna taasisi nyingi sana wanakopesha wafanyakazi wao pesa nyingi za kununua gari na kujenga nyumba, then Kwa kulitambua Ilo wanawalipa wafanyakazi wao posho nyingi, lakini nyie ni mwendo wa kutafutana na roho mbaya,
Imagine vyama vya wafanyakazi kama CWT wanakuibia live, serikali imekaa kmya, ukienda kujitoa utakutana na kigingi cha mkurugenzi na afsa utumishi (Kwa kukosa akili) unategemea output ya hawa walimu itakuwa sawa? Mwalimu analipwa pesa ya kawaida, mishahara Yao sio duni sana ukilinganisha na sector zingine changamoto ni Moja mwl Hana posho yoyote, hii imemfanya mtumishi kuishi maisha magumu sana.
Kipato anachokipata mwalimu sidhani kama anaweza kumfikia dereva bolt (bodaboda) au bajaj regardless na utapeli wa kisingizio cha bima n.k
Nimehuzunika na huyo mwl aliyehukumiwa jela maisha akitekeleza majukumu yake.