Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Ya Mbagala au ya wapiii sinzaa.Njoo kitambaa cheupe mzee achana na hizo baa zenu zinauza chimpumu.
Hapo sinza ndio mpaka wahudumu wa jikoni masingo maza. Labda uniambie ya mbagara ambayo sijawahi kufikaNjoo kitambaa cheupe mzee achana na hizo baa zenu zinauza chimpumu.
Afu mbele ni kazi nzur tu na mtu anawaambia mpaka kwao kwamba anafanya kazi barNchi masikini ndiyo bingwa za kudharau kazi za wengine,huwezi kusikia mawazo ya kipumbavu kama haya kwenye Nchi zilizoendelea.
Una uhakika ume-comment kwenye post uliyokusudia?Nchi masikini ndiyo bingwa za kudharau kazi za wengine,huwezi kusikia mawazo ya kipumbavu kama haya kwenye Nchi zilizoendelea.
Sio kweli kwamba kila baamedi hana kingine cha kufanya. Kuna kazi zingine mfano udobi ambayo mtaji ni nguvu zake mwenyeweAnachosema mdau ni kweli 100% baa nyingi hata hizo classic...Hao mabinti wadogo warembo unaodhani hawana watoto..wanao...Wengi maisha yanawaforce kufanya ivo coz hawana option nyingine ya kufanya ili kutunza watoto
Kutoka kwenye familia duni nafikiri ilo kundi ambalo lipo kwenye nyanja. Siasa, ofisini, soka, mziki, football n.k wapo wengi tu chimbuko lao wametoka kwenye familia duni. Ila hii trend ya ubaamedi kuvamiwa na masingo maza imenishangaza kidogoKuna ukweli katika hili. Wengi wao ama ni single mothers au wametoka kwenye familia duni.
Hata hapa kwetu tukitaka kuiheshimisha ni kazi nzuri tu. Sema mazingira ndio magumu sana. Kumvalia kimini mlevi harafu akuache salama sio mchezo.Afu mbele ni kazi nzur tu na mtu anawaambia mpaka kwao kwamba anafanya kazi bar
Mfano walevi wa huko ziwan kipindi bado samak zinapatikana,hata binti akiwa hapendi ataliwa tu maana limtu linatoa hata laki kwa baamedHata hapa kwetu tukitaka kuiheshimisha ni kazi nzuri tu. Sema mazingira ndio magumu sana. Kumvalia kimini mlevi harafu akuache salama sio mchezo.
Bar nying zinamilikiwa na wachaga hivyo Sio ajabu wakaajiri watu wa kwaoUpo sahihi, bar ambazo mimi nazifahamu sehemu nilipo na ni bar kali, 98% ya wahudumu ni single mothers.
Nimezunguka bar nyingi sana hasa Dar, ukipata nafasi ya kukaa na wahudumu, karibia wote ni single mothers.
Makabila ya kaskazini hasa wachagga wanaongoza kuwa na wahudumu wengi wa bar. Wasukuma na Wagogo wanafuata ila kwa kiwango cha chini sana, kwa mbaali na Mbeya.
Mkuu research yako imeenda mpaka kwenye makabilaUpo sahihi, bar ambazo mimi nazifahamu sehemu nilipo na ni bar kali, 98% ya wahudumu ni single mothers.
Nimezunguka bar nyingi sana hasa Dar, ukipata nafasi ya kukaa na wahudumu, karibia wote ni single mothers.
Makabila ya kaskazini hasa wachagga wanaongoza kuwa na wahudumu wengi wa bar. Wasukuma na Wagogo wanafuata ila kwa kiwango cha chini sana, kwa mbaali na Mbeya.
Wachaga kwenye suala la kutafuta hela wapo kila kona. Hakuna sekta utawakosa haoBar nying zinamilikiwa na wachaga hivyo Sio ajabu wakaajiri watu wa kwao
Ha ha ha wewe tulia taratibu utaona mengi.Mkuu research yako imeenda mpaka kwenye makabila
Ningeshangaa kama wagogo wasingetajwa humu.Upo sahihi, bar ambazo mimi nazifahamu sehemu nilipo na ni bar kali, 98% ya wahudumu ni single mothers.