Kazi ya ubaamedi ni kwa ajiri ya single mothers?

Kazi ya ubaamedi ni kwa ajiri ya single mothers?

Upo sahihi, bar ambazo mimi nazifahamu sehemu nilipo na ni bar kali, 98% ya wahudumu ni single mothers.

Nimezunguka bar nyingi sana hasa Dar, ukipata nafasi ya kukaa na wahudumu, karibia wote ni single mothers.

Makabila ya kaskazini hasa wachagga wanaongoza kuwa na wahudumu wengi wa bar. Wasukuma na Wagogo wanafuata ila kwa kiwango cha chini sana, kwa mbaali na Mbeya.
Kwa mujibu wa mimi mnywaji mwandamizi, record ya uhudumu wa bar imevunjwa na wanawake wakagulu, wagogo, wanyiramba+nyaturu bila kuwaweka mbali warangi+iraq na meru.

Hayo makabila uliyotaja hasa wachagga wao ni wandamizi na wapo kimasrahi zaidi. Hawafanyii njaa.
 
Mama yako anafanyia bar gani tukamuungishe kiongozi?
 
Kwa mujibu wa mimi mnywaji mwandamizi, record ya uhudumu wa bar imevunjwa na wanawake wakagulu, wagogo, wanyiramba+nyaturu bila kuwaweka mbali warangi+iraq na meru.

Hayo makabila uliyotaja hasa wachagga wao ni wandamizi na wapo kimasrahi zaidi. Hawafanyii njaa.
Ha ha ha upo sahihi mkuu. Jamaa umenfurahisha sana.
 
Nimegundua hii trend. Viwanja vyangu vyote vya kumwagilia moyo kila baamedi ninaepiga nae story ananiambia ana mtoto. Ukimuuliza baba mtoto yuko wapi analeta story za hapa na pale.

Hii kazi ya ubaamedi ndio tayari ishakua maalumu kwa ajiri ya single mazas au vipi.
100% hata akianza leo hatoboi mwaka hajainasa mimba tena wengi wao hawajui hata baba wa mtoto ni nani maana wengi wanapgwa hata na wanaume watatu kwa siku.
 
Kwa mujibu wa mimi mnywaji mwandamizi, record ya uhudumu wa bar imevunjwa na wanawake wakagulu, wagogo, wanyiramba+nyaturu bila kuwaweka mbali warangi+iraq na meru.

Hayo makabila uliyotaja hasa wachagga wao ni wandamizi na wapo kimasrahi zaidi. Hawafanyii njaa.
Kuna barmed alinionesha hadi mjengo kaujenga kwao Uchaggani...tena alikuja bar ya mtaani tu....aisee, Barmed wengi wanapiga pesa sana..na wenye malengo wanatimiza.
Wanawake jamii imewachukulia ni wakupewa.Barmed chakula utanunua,vinywaji utanunua,usafiri utalipa, gest/Lodge/ Hotel utalipa na kumridhisha ni kazi yako...akitoka pesa yake iko palepale kama malipo ya starehe ya kulala nae...ukizubaa mpaka usafiri wa kumpeleka aendako ni juu yako..Usikute utaweka Bill yake anapofanyia kazi😀😀😀😀Gharma zote hizo ni juu ya mwanaume. MaBarmed wenye akili wameshatoka kupitia hiyo kazi..Barmed weekend anakunja pesa ndefu hasa kwenye maBar makubwa ambapo weekend inaanzia Jumatano tu.
 
Afu mbele ni kazi nzur tu na mtu anawaambia mpaka kwao kwamba anafanya kazi bar
Wengi hawasemi kama wanafanyakazi za Bar...wengi wanapelekwa sehemu mbalimbali kufanya hizo kazi ila hawasemi zaidi ya kutuma huduma kwa familia zao, wengi hawaweki wazi wanafanya kazi gani sababu Kazi ya Bar inadharaulika ndo maana huhitaji CV chap wanapata, ukimfukuza Barmed leo usishangae kumkuta bar ya jirani yako tu, hafu ni watu wakutake risk sana sababu ya majukumu yaliyonyumayao!! WANAROHO NGUMU HAO.
 
Back
Top Bottom