Kazi ya ubaamedi ni kwa ajiri ya single mothers?

Hakuna shughuli uko. Mimi nimetulia tu hapa kijichi gateway pub. Nimechill gorofani na wazee wenzangu tunasubiri masiha azaliwe
Sasa wewe unatafuta mbususu ambazo hazijazaa au unamsubiri masiha azaliwe mpinga kuchakata mbususu!
 
Kwa mujibu wa mimi mnywaji mwandamizi, record ya uhudumu wa bar imevunjwa na wanawake wakagulu, wagogo, wanyiramba+nyaturu bila kuwaweka mbali warangi+iraq na meru.

Hayo makabila uliyotaja hasa wachagga wao ni wandamizi na wapo kimasrahi zaidi. Hawafanyii njaa.
 
Mama yako anafanyia bar gani tukamuungishe kiongozi?
 
Ha ha ha upo sahihi mkuu. Jamaa umenfurahisha sana.
 
100% hata akianza leo hatoboi mwaka hajainasa mimba tena wengi wao hawajui hata baba wa mtoto ni nani maana wengi wanapgwa hata na wanaume watatu kwa siku.
 
Kuna barmed alinionesha hadi mjengo kaujenga kwao Uchaggani...tena alikuja bar ya mtaani tu....aisee, Barmed wengi wanapiga pesa sana..na wenye malengo wanatimiza.
Wanawake jamii imewachukulia ni wakupewa.Barmed chakula utanunua,vinywaji utanunua,usafiri utalipa, gest/Lodge/ Hotel utalipa na kumridhisha ni kazi yako...akitoka pesa yake iko palepale kama malipo ya starehe ya kulala nae...ukizubaa mpaka usafiri wa kumpeleka aendako ni juu yako..Usikute utaweka Bill yake anapofanyia kazi😀😀😀😀Gharma zote hizo ni juu ya mwanaume. MaBarmed wenye akili wameshatoka kupitia hiyo kazi..Barmed weekend anakunja pesa ndefu hasa kwenye maBar makubwa ambapo weekend inaanzia Jumatano tu.
 
Afu mbele ni kazi nzur tu na mtu anawaambia mpaka kwao kwamba anafanya kazi bar
Wengi hawasemi kama wanafanyakazi za Bar...wengi wanapelekwa sehemu mbalimbali kufanya hizo kazi ila hawasemi zaidi ya kutuma huduma kwa familia zao, wengi hawaweki wazi wanafanya kazi gani sababu Kazi ya Bar inadharaulika ndo maana huhitaji CV chap wanapata, ukimfukuza Barmed leo usishangae kumkuta bar ya jirani yako tu, hafu ni watu wakutake risk sana sababu ya majukumu yaliyonyumayao!! WANAROHO NGUMU HAO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…