Nina baa karibu naomba uje na wadogo zako woteWengi wetu wanaichukulia kazi hii kuwa ni ya kudharaulika, Mara nyingi kijana akipata girlfriend mhudumu wa bar hawezi hata kuwafahamisha kwao kazi ya mpenzi wake.
Wale waliosoma nje ya Tanzania mmeshuhudia wanafunzi wa university wanavyopiga kazi hizi weekends na holidays ili kupambana na maisha wakati wa academic year na zimesaidia wengi sana.
Nini kifanyike ili kuzipa kazi hizi hadhi na heshima?
Duh!!!
Mimi nashauii waajiri wa hizo kazi wawe na heshima kwa wafanyakazi wao, Na wateja watakuwa wana waheshimi. .
Binafsi Mimi namchukulia msichana anaefanya kazi baa. Kama mfanya kazi mwingine tu, ili mradi analipwa mshahara
Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
Mimi nashauii waajiri wa hizo kazi wawe na heshima kwa wafanyakazi wao, Na wateja watakuwa waheshimu. .
Binafsi Mimi namchukulia msichana anaefanya kazi baa. Kama mfanya kazi mwingine tu, ili mradi analipwa mshahara
Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
Wengi wetu wanaichukulia kazi hii kuwa ni ya kudharaulika, Mara nyingi kijana akipata girlfriend mhudumu wa bar hawezi hata kuwafahamisha kwao kazi ya mpenzi wake.
Wale waliosoma nje ya Tanzania mmeshuhudia wanafunzi wa university wanavyopiga kazi hizi weekends na holidays ili kupambana na maisha wakati wa academic year na zimesaidia wengi sana.
Nini kifanyike ili kuzipa kazi hizi hadhi na heshima?
[emoji106]Kwanza ni kwa nini hadhi yake kwa Tanzania ipo chini na kule ughaibuni ipo juu? Je, ni kweli huko ughaibuni, ikilinganishwa na nyingine ni sawa?
Kwangu mimi iwe ughaibuni au Tanzania haina hadhi. Na sio wote wanaosoma au waliosoma ughaibuni wamefanya u-barmaid. Wengine wamefanya kwenye mashamba, supermarket na kutandika na kuhudumia au kuosha vyombo mahotelini mpaka kusafisha vyoo.
Vyuo vya ughaibuni vinashauri wanafunzi kufanya kazi hizo hili kuongeza uzoefu wa kuongea lugha zao kama Kiingereza na kipato kwa ajili ya kujikimu ambacho sio kikubwa ukilinganisha na hadhi ya kazi yenyewe. Na wengi wenye ufadhiri wa masomo ambao sio wa uhakika ndio ufanya kazi hizo bila kujali ni wenyeji au wageni.
Kama kufanya kazi hizo ughaibuni kuna hadhi ya juu, basi wekeni kwenye CV zenu?
Cha Kwanza Heshima Ya Kazi Yeyote Ile Ni Mshahara Xo Mshahara Uwe Mnono May Be Laki 8 kwa Mwezi [emoji561]Wengi wetu wanaichukulia kazi hii kuwa ni ya kudharaulika, Mara nyingi kijana akipata girlfriend mhudumu wa bar hawezi hata kuwafahamisha kwao kazi ya mpenzi wake.
Wale waliosoma nje ya Tanzania mmeshuhudia wanafunzi wa university wanavyopiga kazi hizi weekends na holidays ili kupambana na maisha wakati wa academic year na zimesaidia wengi sana.
Nini kifanyike ili kuzipa kazi hizi hadhi na heshima?
Kuwe na work ethics wahudumu wasirhusiwe kunywa wakiwa kaziniCha Kwanza Heshima Ya Kazi Yeyote Ile Ni Mshahara Xo Mshahara Uwe Mnono May Be Laki 8 kwa Mwezi [emoji561]
2: cha Pili Mavazi Aisee Kuvaa Aina Flani Ya Nguo Hazimvutii MTU Kunywa Katika Bar Bali Kunamvutia Ku sex Na Muhudumu huyo So Mavazi Yawe ya Heshima Kidogo Watofautishe Bar , Night club, na Madanguro .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nashauii waajiri wa hizo kazi wawe na heshima kwa wafanyakazi wao, Na wateja watakuwa waheshimi. .
Binafsi Mimi namchukulia msichana anaefanya kazi baa. Kama mfanya kazi mwingine tu, ili mradi analipwa mshahara
Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
Shida wanachanganya biashara hao wahudumu sasa wanaishushia hadhi inakuwa sio kama kule ulaya,wateja nao nidhamu o!Wengi wetu wanaichukulia kazi hii kuwa ni ya kudharaulika, Mara nyingi kijana akipata girlfriend mhudumu wa bar hawezi hata kuwafahamisha kwao kazi ya mpenzi wake.