Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Wengi wetu wanaichukulia kazi hii kuwa ni ya kudharaulika, Mara nyingi kijana akipata girlfriend mhudumu wa bar hawezi hata kuwafahamisha kwao kazi ya mpenzi wake.
Wale waliosoma nje ya Tanzania mmeshuhudia wanafunzi wa university wanavyopiga kazi hizi weekends na holidays ili kupambana na maisha wakati wa academic year na zimesaidia wengi sana.
Nini kifanyike ili kuzipa kazi hizi hadhi na heshima?