Kazi ya uhudumu wa bar

Kazi ya uhudumu wa bar

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Wengi wetu wanaichukulia kazi hii kuwa ni ya kudharaulika, Mara nyingi kijana akipata girlfriend mhudumu wa bar hawezi hata kuwafahamisha kwao kazi ya mpenzi wake.

Wale waliosoma nje ya Tanzania mmeshuhudia wanafunzi wa university wanavyopiga kazi hizi weekends na holidays ili kupambana na maisha wakati wa academic year na zimesaidia wengi sana.

Nini kifanyike ili kuzipa kazi hizi hadhi na heshima?
 
Nina baa karibu naomba uje na wadogo zako wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo mabinti wakishaanza kufanya hiyo kazi huwa na wao wanajifuza ulevi vile vile na wale wanywaji wanao hudumiwa huwa wakishalewa wanaanza kuwashika maungo ya hao mabinti baadaye na ngono zembe juu.

-Ndumilakuwili-
 
Mimi nashauii waajiri wa hizo kazi wawe na heshima kwa wafanyakazi wao, Na wateja watakuwa waheshimi. .
Binafsi Mimi namchukulia msichana anaefanya kazi baa. Kama mfanya kazi mwingine tu, ili mradi analipwa mshahara

Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
 
Mimi nashauii waajiri wa hizo kazi wawe na heshima kwa wafanyakazi wao, Na wateja watakuwa wana waheshimi. .
Binafsi Mimi namchukulia msichana anaefanya kazi baa. Kama mfanya kazi mwingine tu, ili mradi analipwa mshahara

Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]

Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
 
Mimi nashauii waajiri wa hizo kazi wawe na heshima kwa wafanyakazi wao, Na wateja watakuwa waheshimu. .
Binafsi Mimi namchukulia msichana anaefanya kazi baa. Kama mfanya kazi mwingine tu, ili mradi analipwa mshahara

Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]

Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
 
Wengi wetu wanaichukulia kazi hii kuwa ni ya kudharaulika, Mara nyingi kijana akipata girlfriend mhudumu wa bar hawezi hata kuwafahamisha kwao kazi ya mpenzi wake.

Wale waliosoma nje ya Tanzania mmeshuhudia wanafunzi wa university wanavyopiga kazi hizi weekends na holidays ili kupambana na maisha wakati wa academic year na zimesaidia wengi sana.

Nini kifanyike ili kuzipa kazi hizi hadhi na heshima?

Kwanza ni kwa nini hadhi yake kwa Tanzania ipo chini na kule ughaibuni ipo juu? Je, ni kweli huko ughaibuni, ikilinganishwa na nyingine ni sawa?

Kwangu mimi iwe ughaibuni au Tanzania haina hadhi. Na sio wote wanaosoma au waliosoma ughaibuni wamefanya u-barmaid. Wengine wamefanya kwenye mashamba, supermarket na kutandika vitanda na kuhudumia chakula au kuosha vyombo mahotelini mpaka kusafisha vyoo. Kwenye nyumba za wazee na mahospitalini ikiwemo kuokota taka barabarani.

Vyuo vya ughaibuni vinashauri wanafunzi kufanya kazi hizo hili kuongeza uzoefu wa kuongea lugha zao kama Kiingereza na kipato kwa ajili ya kujikimu ambacho sio kikubwa ukilinganisha na hadhi ya kazi yenyewe. Na wengi wenye ufadhili wa masomo ambao sio wa uhakika ndio ufanya kazi hizo bila kujali ni wenyeji au wageni.

Kama kufanya kazi hizo ughaibuni kuna hadhi ya juu, basi wekeni kwenye CV zenu?
 
Kwanza ni kwa nini hadhi yake kwa Tanzania ipo chini na kule ughaibuni ipo juu? Je, ni kweli huko ughaibuni, ikilinganishwa na nyingine ni sawa?

Kwangu mimi iwe ughaibuni au Tanzania haina hadhi. Na sio wote wanaosoma au waliosoma ughaibuni wamefanya u-barmaid. Wengine wamefanya kwenye mashamba, supermarket na kutandika na kuhudumia au kuosha vyombo mahotelini mpaka kusafisha vyoo.

Vyuo vya ughaibuni vinashauri wanafunzi kufanya kazi hizo hili kuongeza uzoefu wa kuongea lugha zao kama Kiingereza na kipato kwa ajili ya kujikimu ambacho sio kikubwa ukilinganisha na hadhi ya kazi yenyewe. Na wengi wenye ufadhiri wa masomo ambao sio wa uhakika ndio ufanya kazi hizo bila kujali ni wenyeji au wageni.

Kama kufanya kazi hizo ughaibuni kuna hadhi ya juu, basi wekeni kwenye CV zenu?
[emoji106]

-Ndumilakuwili-
 
Wengi wetu wanaichukulia kazi hii kuwa ni ya kudharaulika, Mara nyingi kijana akipata girlfriend mhudumu wa bar hawezi hata kuwafahamisha kwao kazi ya mpenzi wake.

Wale waliosoma nje ya Tanzania mmeshuhudia wanafunzi wa university wanavyopiga kazi hizi weekends na holidays ili kupambana na maisha wakati wa academic year na zimesaidia wengi sana.

Nini kifanyike ili kuzipa kazi hizi hadhi na heshima?
Cha Kwanza Heshima Ya Kazi Yeyote Ile Ni Mshahara Xo Mshahara Uwe Mnono May Be Laki 8 kwa Mwezi [emoji561]
2: cha Pili Mavazi Aisee Kuvaa Aina Flani Ya Nguo Hazimvutii MTU Kunywa Katika Bar Bali Kunamvutia Ku sex Na Muhudumu huyo So Mavazi Yawe ya Heshima Kidogo Watofautishe Bar , Night club, na Madanguro .
3: Katika Vyuo Pawe Na Coz Za Kusoma Na Watu Wafanyiwe Udahili Kma Kozi Zingine
 
Wahudumu wa bar wanakuaga na mikia balaa,.. Brazilian pale tegeta opp kibo,... Matako bar, wanakosha sana,.........
 
Cha Kwanza Heshima Ya Kazi Yeyote Ile Ni Mshahara Xo Mshahara Uwe Mnono May Be Laki 8 kwa Mwezi [emoji561]
2: cha Pili Mavazi Aisee Kuvaa Aina Flani Ya Nguo Hazimvutii MTU Kunywa Katika Bar Bali Kunamvutia Ku sex Na Muhudumu huyo So Mavazi Yawe ya Heshima Kidogo Watofautishe Bar , Night club, na Madanguro .

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwe na work ethics wahudumu wasirhusiwe kunywa wakiwa kazini
 
Mimi nashauii waajiri wa hizo kazi wawe na heshima kwa wafanyakazi wao, Na wateja watakuwa waheshimi. .
Binafsi Mimi namchukulia msichana anaefanya kazi baa. Kama mfanya kazi mwingine tu, ili mradi analipwa mshahara

Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]

Wewe sio muhudumu wa bar,
....!?
 
Wengi wetu wanaichukulia kazi hii kuwa ni ya kudharaulika, Mara nyingi kijana akipata girlfriend mhudumu wa bar hawezi hata kuwafahamisha kwao kazi ya mpenzi wake.

Wale waliosoma nje ya Tanzania mmeshuhudia wanafunzi wa university wanavyopiga kazi hizi weekends na holidays ili kupambana na maisha wakati wa academic year na zimesaidia wengi sana.

Nini kifanyike ili kuzipa kazi hizi hadhi na heshima?
Shida wanachanganya biashara hao wahudumu sasa wanaishushia hadhi inakuwa sio kama kule ulaya,wateja nao nidhamu o!
 
Back
Top Bottom