Cleaner bora x100. Kwasababu kuna muda wa break na wafanyakazi wengi wanawapa tips watu wa usafi sio walinzi.Ile na cleaner bora cleaner mkuu, na mm naona hata biashara ya mitumba ina hela mana unaweza kuweka elf 40 ukapiga 70 per half day
Kule mkuu hela ipo.. fursa ipo! Mm mwaka huu nahamia mazima kule bongo imenishinda pakubwa sana na nina plan ya kujiongeza kama nitakosa Limama la kizungu mm hata mwanangu atapataga tuNgoja na mimi niende kimkakati.
Nakubaliana na ww jomba. Garda, G4S na SGA hizi kampuni wanawalipa walinzi vzr kabsa, tena ontime. Nina jamaa zangu wanafanya kazi garda na wananiungisha sana kwny biashara yangu, issue za kukopa kwao ni mara chache sana. Kwa tafsiri iyo it means hawa wanalipwa ontime na malipo yao yako poa.mkuu mi Niko gada na hapa Niko lindoni take home nachukua 380k na Nina bima plus nif
Niliwah kupata kimeo kipkndi hiko muhindi kaamka saa 11 hajaniona. Ikaletwa kesi umelala wapi? Nikalitimua vumbi muhindi akaona huyu jamaa mwehu nikabadilshwa kituo cha kaz mana nilikesha alaf mda naenda toilet muhindi ndo katoka kunikagua. Kufika ofisin naambiwa mlinzi ukaze hata choosing huendi we ukomae tu...Cleaner bora x100. Kwasababu kuna muda wa break na wafanyakazi wengi wanawapa tips watu wa usafi sio walinzi.
Sema nasikia kuna kaubaguzi ka chini chini kwetu sisi wa bara kutoka kwa wazawa ni kweli?Kule mkuu hela ipo.. fursa ipo! Mm mwaka huu nahamia mazima kule bongo imenishinda pakubwa sana na nina plan ya kujiongeza kama nitakosa Limama la kizungu mm hata mwanangu atapataga tu
kaka sio kila Kampuni ya security inalipa walinzi 120 tena trh mbovuSweet pain hujambo?
Ulilinda Damico nn kipindi hiko hata kawawa alikuwa shule ya msingi pale ipogolo?
Under circumstances.. Wale jamaa wanaonaga u"bongo" ni dishonourable nature. Lakin level hii imefikiwa sabab ya sheria kule kutaka wazawq kunufaika zaidi kwa kigezo cha udogo wa kisiwa.Sema nasikia kuna kaubaguzi ka chini chini kwetu sisi wa bara kutoka kwa wazawa ni kweli?
We better speak of quantity na hizo eneo zenye mazingira mazur ya kaz hiz ni almost 5% ya kitu kizima. Na kupat shughul yake pevukaka sio kila Kampuni ya security inalipa walinzi 120 tena trh mbovu
wengine ni walinzi wa migodi, mishahara ni mikubwa kweli kweli
Kazi ni kaz! Kaz kazwenyewe ,ukiwapigia cm wakipokea utasikia Niko kazini
Hii kazi kama mhusika ni mlinzi wa nyumba ni heri mwenye nyumba ubebe baadhi ya mambo. Hawa watu wanateseka sana.Yessssssss.. niaje!
Asee kazi nyingine ndugu zangu sio kazi. Mshahara 180 or less na hapo hujafanya kosa. Unagewa mkataba huo unaweza ukalia na unaambiwa kama hauuwez tunakuruhus njia ile nyeupe!.
Hapo unashngaa kila siku unalipwa elf 6 lakini siku hiyo ukikutwa na kosa unakatwa elfu 20. Hapohpo ikifika mwisho wa mwez kulipana mpaka maandamano.
Miaka kadhaa nyuma nilipiga hii kazi! Dah 😁😁 sijui pepo lile la kufanya yoyote nilitolea wapi mana sio kwa ujinga ule. Mshahara kupewa mpaka kivumbi na unapewa mshahara na masimango kibao.
Ilifika kipindi mshahara mnapokea tarehe 15. Kuna mwez flani nikPewa mshahar tarehe 24 yani nimefanya kaz siku 54. Hiz kaz ndo mana wanajazana wazee wa hovyo kwa hovyo tu
Tupia vioja na vimbwanga vya hii kaz hapa!
View attachment 3071851
Mm siku nafika ofis yetu nikakutana na kimeo. Operation manager anammfokea jamaa kwamba "atainamishwa".. kila neno akiongea anamalizia hivyo.. mara "unaleta ufala weyeee". Kunbe jamaa alikatazwa kupokea misaada ya bosi anapolinda. Sasa kila wakimtemblea wanakuta jamaa anapew chakula anakula kama mwanafamilia. Wanammaindi 🤣Hii kazi kama mhusika ni mlinzi wa nyumba ni heri mwenye nyumba ubebe baadhi ya mambo. Hawa watu wanateseka sana.
Halafu wale wakaguzi wao huwa ndiyo katili sana. Wakikuta hajavaa sijui kofia, kitambulisho au kirungu kiunoni ni balaa.
Hapo kama ni mlinzi wa iliyokuwa Ultimate Security ataambiwa atunze bustani za maua kwa kunyweshea maji kwa ratiba.
Kuna wakati mzee alimnunulia baskeli ya gia mlinzi anayelinda home, basi ikawa balaa hadi wakamtoa home wakampeleka kwingine.
Ndiyo maana Ubalozi wa US ilipoanzisha kampuni yake ya ulinzi, ikazoa kirahisi walinzi karibu wote wa Ultimate Security.
Ova
Nitakuja kuelezea kwa upande wanguYessssssss.. niaje!
Asee kazi nyingine ndugu zangu sio kazi. Mshahara 180 or less na hapo hujafanya kosa. Unagewa mkataba huo unaweza ukalia na unaambiwa kama hauuwez tunakuruhus njia ile nyeupe!.
Hapo unashngaa kila siku unalipwa elf 6 lakini siku hiyo ukikutwa na kosa unakatwa elfu 20. Hapohpo ikifika mwisho wa mwez kulipana mpaka maandamano.
Miaka kadhaa nyuma nilipiga hii kazi! Dah 😁😁 sijui pepo lile la kufanya yoyote nilitolea wapi mana sio kwa ujinga ule. Mshahara kupewa mpaka kivumbi na unapewa mshahara na masimango kibao.
Ilifika kipindi mshahara mnapokea tarehe 15. Kuna mwez flani nikPewa mshahar tarehe 24 yani nimefanya kaz siku 54. Hiz kaz ndo mana wanajazana wazee wa hovyo kwa hovyo tu
Tupia vioja na vimbwanga vya hii kaz hapa!
View attachment 3071851
KaribuNitakuja kuelezea kwa upande wangu
Mshahala mpya...wanafika mkuuMay be elim na uzoef unakubeba. Kuna watu mm nawajua hapo garda 300 haifiki.
Yaani hata haya makampuni / mashirika yanayoingia mikataba na baadhi ya makampuni ya ulinzi ya kiswahili huwa naona kama yanachochea unyanyasaji kwa hao walinzi....shirika linalipa laki mbili na nusu Kwa huduma ya ulinzi (hapa mlinzi sijui atalamba ngapi maana na mwenye kampuni nae ela yake ya faida itoke hapa hapa na hakuna rotation na ukiona mlinzi amebadilishwa usidhani yupo off Bali amepelekwa LINDO kingine ili kukuonyesha linajali walinzi wakeHalf american kampun hiyo ni ya mtanzania au? Mana kampunin zenye balaa zinamilikiwaga na watanzania
Huwa ni wivu tu na roho mbaya, ila wanajitia eti wanasimamia taratibu za kazi.Mm siku nafika ofis yetu nikakutana na kimeo. Operation manager anammfokea jamaa kwamba "atainamishwa".. kila neno akiongea anamalizia hivyo.. mara "unaleta ufala weyeee". Kunbe jamaa alikatazwa kupokea misaada ya bosi anapolinda. Sasa kila wakimtemblea wanakuta jamaa anapew chakula anakula kama mwanafamilia. Wanammaindi 🤣
Kabisakabisa,ndiyo maana wanaiba aisee