Udart
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 398
- 586
sio 250 mi mwenyewe Niko Garda take home nachukua 350k hapo nimekatwa bima nif na nssf usikalili na huyo guard wa kawaida kabsaGarda 250! Walau walau wana nafuu yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio 250 mi mwenyewe Niko Garda take home nachukua 350k hapo nimekatwa bima nif na nssf usikalili na huyo guard wa kawaida kabsaGarda 250! Walau walau wana nafuu yao
Suma kampuni nzur kabisa hii? Vijana waliojitolea miaka 2 wale.
Kuna kampuni ukisikia tu unaona hapa kimberley kipo. Ukiona tu uniform rangi ake na hali ya viatu walivyovaa walinzi sio poa. Wengine wanalinda mpaka na yeboyebo
Shida mnafanya kazi kampuni za kipumbavu.Yessssssss.. niaje!
Asee kazi nyingine ndugu zangu sio kazi. Mshahara 180 or less na hapo hujafanya kosa. Unagewa mkataba huo unaweza ukalia na unaambiwa kama hauuwez tunakuruhus njia ile nyeupe!...
Ukiwa supervisor ukapita kukagua lindoni lazima uangalie utimam wa askari mana kukuta yuko bwii ni kawaida kabisa.View attachment 3071946
Asubuhi unakutana na mzee ana gobole limefungwa rubber band anakokota phoenix mkulima imeisha na uniform chakavu halafu unaambiwa mlinzi katoka lindoni.
Ukisema overtime una maana masaa ya kaz ni mangapi tuanzie hapoShida mnafanya kazi kampuni za kipumbavu.
Mimi nimefanya kazi ya ulinzi miaka 4 (KK Security, baadaye ikawa Gardaworld).
Mshahara ulikuwa 250,000-280,000 kutegemea na mwezi na siku za kazi.
Likizo yenye malio, na NSSF.
Mpaka naacha nilikuwa na milioni 2 laki 7 NSSF ambazo nilichukua kwa kuanzia.
Sasa unafanya kazi ya ulinzi kampuni hazieleweki kwanini usiumie.
Na sisi hivi Hawa Gardaworld mishahara imepanea, nadhani ni zaidi ya laki 3. Maana wakati tunapata 250,000 basic yetu ilikuwa 150,000. Sasa hivi basic ni 222,000 kwahiyo ukijumlisha na overtime lazima inazidi laki 3
Kisheria, muda wa kazi ni masaa 9.Ukisema overtime una maana masaa ya kaz ni mangapi tuanzie hapo
Shukuru mungu, mana kusoma pekww sio guarantee ya wewe kuwa hapo! Wasom kibao garda paleBabu yangu alikuwa akiniambia. "....... Ukiendekeza uvivu na usingizi utakuwa korokoloni mjinga wee". Nilona kama anazingua kwa nini ananiamsha asubuhi kuwahi shule na usingizi ndio kwanza mtamu.
Leo bado namkumbuka nikiwaona hao Makorokoloni wanavyo struggle na maisha.
Thank you grandpa. May God Rest your beautiful soul in peace. Am doing just fine.
Kwa hesbu ya masaa 3 overtime kwa lindo moja (session) kuna jumla ya masaa kama 90 kwa mwez! Yanalipwa kias gan hay?Kisheria, muda wa kazi ni masaa 9.
Ila mlinzi huwezi kuacha lindo baada ya masaa ,9 kwahiyo kwa kawaida Walinzi hufanya kazi masaa 12 . Hivyo over time ni hayo masaa 3.
Kulonga Goya mkulu..Shukuru mungu, mana kusoma pekww sio guarantee ya wewe kuwa hapo! Wasom kibao garda pale
Mkuu, Mimi siyo mhasibu.Kwa hesbu ya masaa 3 overtime kwa lindo moja (session) kuna jumla ya masaa kama 90 kwa mwez! Yanalipwa kias gan hay?
Sana sana sana.. kaz hii unafanya ukiwa na mfadhaiko mkubwa sana. Na wakat huo ina vioja na vibweka sio poa! Mshahara unalipwa ofisin tareh 25 nyinyi mnapewa tarehe 10 mshapauka balaaNi kazi ngumu Sana kiukweli
Masaa 74 mshahar wake eld 74 yni kila Lisaa buku! Lakin garda ina nafuu sana. Na hii kaz vs bodaboda unashaur kijana achukue ipi?Mkuu, Mimi siyo mhasibu.
Basic 222,000.
Siku za kazi 6 ( off siku 01).
Piga mahesabu wewe.
====
Wakati nafanya kazi, basic yetu ilikuwa 150,000/-
Unasaini ukiingia kazini (paysheet unasainishwa kila ukiingia kazini).
Kwa mwezi mrefu Kama January ukiingia kazini siku zote unapata Kama 270,000/-
Na mnapauka kweli...na maisha yenu yapo hatarini muda wote...bado kugongewa wife home...Nyie hii dunia nyiee🙌Sana sana sana.. kaz hii unafanya ukiwa na mfadhaiko mkubwa sana. Na wakat huo ina vioja na vibweka sio poa! Mshahara unalipwa ofisin tareh 25 nyinyi mnapewa tarehe 10 mshapauka balaa
Bora Bora ufie jasho lako kuliko ulinzi ufie Mali ya mwenzio🤨Masaa 74 mshahar wake eld 74 yni kila Lisaa buku! Lakin garda ina nafuu sana. Na hii kaz vs bodaboda unashaur kijana achukue ipi?
Nyie si mnaponda daily kwamba dada wa kazi kulipwa laki moja ni dhuluma..Yessssssss.. niaje!
Asee kazi nyingine ndugu zangu sio kazi. Mshahara 180 or less na hapo hujafanya kosa. Unagewa mkataba huo unaweza ukalia na unaambiwa kama hauuwez tunakuruhus njia ile nyeupe!.
Hapo unashngaa kila siku unalipwa elf 6 lakini siku hiyo ukikutwa na kosa unakatwa elfu 20. Hapohpo ikifika mwisho wa mwez kulipana mpaka maandamano.
Miaka kadhaa nyuma nilipiga hii kazi! Dah 😁😁 sijui pepo lile la kufanya yoyote nilitolea wapi mana sio kwa ujinga ule. Mshahara kupewa mpaka kivumbi na unapewa mshahara na masimango kibao.
Ilifika kipindi mshahara mnapokea tarehe 15. Kuna mwez flani nikPewa mshahar tarehe 24 yani nimefanya kaz siku 54. Hiz kaz ndo mana wanajazana wazee wa hovyo kwa hovyo tu
Tupia vioja na vimbwanga vya hii kaz hapa!
View attachment 3071851