Kazi ya ulinzi ndugu zangu sio kazi wallah

Kazi ya ulinzi ndugu zangu sio kazi wallah

Yan yule ukimruhus aelezee kfikaje pale kama hajalia yeye wewe utalia tu. Mana wana vipengele mzee sio poa
😭😭😭😭😭😭 Ila maisha haya🙌 unakuta mwingine ni mzee anapigwa na baridi usiku...afu wamekata tamaa Mie tumbo la uzazi linaniuma hapa...huwa sipendi kuona watu wanateseka ingali hawakuchagua kuzaliwa😭
 
Na hawa wanaolinda kwenye vituo vya mwendokasi ni Kampuni gani?

Kuna mmoja mdada yuko pale kisutu Brt.
Nawaza hyu ni mlinzi au muangaliaji maana ana mshundu na anatwmbea kizembe hvi.
Wale ni China Tanzania civil security services.. kama sijakosea mpangilio wa maneno lakin neno China na Civil lipo
 
Mfano jamaa wa Suma, wale jamaa wengi wao kuna kitu hakipo sawa kumkichwa
Wale wana inferiority complex. Nafsi zao zinawaaminisha kuwa walipaswa kuwa wanajeshi sababu ya mafunzo yao.

Hii hupelekea kutaka kudhihirisha kila muda kuwa wao wanathamani kubwa kuliko walinzi wa kawaida na kuleta ubabe wa kindezi.
 
Walinzi wa sokoni wao hata wasipolipwa sawa tu.
kuna jamaa alikuwa mlinzi mlo aliokuwa anakula ni wa kiwango kingine zaidi ya yote ukihitaji sendo ama yeboyebo wee mwambie no tu unayovaaga kesho yake asubuhi fuata kwake .

matunda hadi alikuwa anatugawia sisi ma bachelor nk
Nikifa mke wangu asiolewe hujambo? 🤣
 
Una ushuhuda wowote?
Ndio Mkuu, kuna jamaa watatu wapo Suma huwa wakija lindo lao wapo full mkebe kama komando vile.

Baada ya kufahamiana nao sana kumbe jamaa ni graduates wamebeba shahada kabisa. Ila life linawapa stress sio poa.

Walienda jakata mambo yakawa ndivyo sivyo wakaangukia Suma kuliko kurudi kitaa mikono mitupu.
 
Wenye makampuni wanalipwa pesa nyingi kwa kila kichwa ,si chini ya laki 5 ila Maboss ndiyo wanawalipa hela hiyo tena hiyo 150 ni nyingi wengine wanalipwa kilo aka jiwe(laki 1).

Ndiyo maana wanakuwa wezi lindoni ,wanaiba vifaa.
Ofkooz unit price ya mlinzi mmoja ni almost 500 or around! Lakin huko chini ndo kuna balaa kazi inaanza tarehe 1 kulipwa tarehe 10 ya mwez mwingine. Ukiumwa wewe hata siku 3 kuna watu hapo watasaga meno kufukia gepu lako
 
😭😭😭😭😭😭 Ila maisha haya🙌 unakuta mwingine ni mzee anapigwa na baridi usiku...afu wamekata tamaa Mie tumbo la uzazi linaniuma hapa...huwa sipendi kuona watu wanateseka ingali hawakuchagua kuzaliwa😭
Umaskini ni real! Na unfanya kaz moja adhim sana kwenye ubepar uliokomaa. Watu dunian hum wamesindikiza tu! Life still hurts.. no body care
 
Back
Top Bottom