Kazi ya ulinzi ndugu zangu sio kazi wallah

Kazi ya ulinzi ndugu zangu sio kazi wallah

Zile ni characterization, vionjo tu katima scene. Ndo mana huwez kukuta vipande vya mlinzi kuonekana ni siriaz sana. Ukitaka kuona ulinzi upoje itafte ile muvi ya mlinzi yule mshkaj wa mbeya ile muvi na mc mboneke yupo

Inaitwa mlinzi, imetayarishwa na jitu la msituni films
Jamaa yuko sahihi,angalia movie za wanaijeria au kanumba,hakuna mlinzi aliyeko sawa kichwani
 
Ah? Jamaa alinidanganya sasa. Mana jamaa alinambia mnapewa 300 ila makato ndo inafika hii 250/60. MHANDO yule jamaa wa dubai si alikuwepo hapo?
hakuna kitu kama hicho g4s 380 SGA 370 Gardaworld 350 kama una bima kama huna inafika mbaka 385k huyo mlinzi wa kawaida so ukiwa na kacheo hapo inaongezeka 50-100k kwenye mabarozi wanaolinda wanachukua mbaka 700k Garda world mlinzi wa kawaida anakopa bank Stanbic mbaka m5-6 sema ni kazi ambayo Kila mtu akikuona anakudharau mimi mwenyewe nalinda bank lkn mbaka cleaner anaepokea 150k ananiona fala tu so akili kichwani mwako poa 80% ya walinzi wanaolinda kama daraja kusikilizia mishe nyingne wapo graduate kibao wanaolinda kingne inaoneka kazi ya kipumbavu lkn nikikwambia nenda kaombe uone shughuli ilivyo kuipata .
 
Nilitakiea niingizwe kwenye mfumo wa hiyo kazi kaka before kuwa fundi mageti
Kaz ile mkuu n utaalam bora utaalam. Hata gerej poa tu mana kuna sehem utakuwepo ndan ya miaka kadhaa mbele. Ile unapata hela ya kula mihogo na energy tu.

Mm kuna kipindi nikataka kujitoa nikapige veta ishu za rangi/painting. Nilijuta sn
 
Inategemea na kampuni unayofanyia Kuna kampuni kubwa kama GARDA WORLD, G4S ,security group SGA, SUMA JKT n.k Kuna rafiki zangu wanafanya kazi huko kitengo cha IT na wengine walinzi.

Walinzi unaozungumzia wewe ni wale wa kampuni kama MOKU ,KAMANDA SECURITY na zingine za wazawa.
mkuu mi nipo Gardaworld kwenye list yako toa Suma jkt mshahara wao sidhani kama wanafika 250 ila mimi Garda nikikatwa bima nif na ssf sijui tupse take home Huwa 360k
 
hakuna kitu kama hicho g4s 380 SGA 370 Gardaworld 350 kama una bima kama huna inafika mbaka 385k huyo mlinzi wa kawaida so ukiwa na kacheo hapo inaongezeka 50-100k kwenye mabarozi wanaolinda wanachukua mbaka 700k Garda world mlinzi wa kawaida anakopa bank Stanbic mbaka m5-6 sema ni kazi ambayo Kila mtu akikuona anakudharau mimi mwenyewe nalinda bank lkn mbaka cleaner anaepokea 150k ananiona fala tu so akili kichwani mwako poa 80% ya walinzi wanaolinda kama daraja kusikilizia mishe nyingne wapo graduate kibao wanaolinda kingne inaoneka kazi ya kipumbavu lkn nikikwambia nenda kaombe uone shughuli ilivyo kuipata .
Garda 350 nakataa mkuu
 
Ngamiani Tanga Kuna mlinzi mmoja alikua alinda duka usiku, kila vibaka wakipita wanamkuta Yuko kamil gado.
Kuna siku kausingizi kalimpitia mlinzi ws watu, Ile kustuka na kile kijibaridi Cha swala swala, akajikuta Yuko uchi wa mnyama na silaha yake haipo japo maduka yote mawili, yaani lile lake binafsi lililo mwilini mwake na lile duka lenye bidhaa la tajiri hayajavunjwa.
Mlinzi alitumia ule mwanya wa kagiza kwenda nyumbani kuvaa nguo. Kulipokucha alirudi dukani kutangaza kuacha kazi.
 
Garda 350 nakataa mkuu
mkuu kwanini nikudanganye g4s SGA na Garda hakuna mlinzi anachukua chini ya 350k ninavyoongea hapa Niko lindoni na bank nimekopa m4 shida ww unachanganya makampuni local ya hapa bongo sijui chui security moku nk lkn kampuni hizo hapo juu hakuna anaechukua chini ya hiyo ukibisha nikumbushe tar 25 nikuoneshe salary sleep yangu.
 
Sawa.. nakutumia email uitupie huko
 
Back
Top Bottom