Kazi ya ulinzi ndugu zangu sio kazi wallah

Kazi ya ulinzi ndugu zangu sio kazi wallah

Ooh sorry....haya asante
Hu
😭😭😭😭😭😭 Ila maisha haya🙌 unakuta mwingine ni mzee anapigwa na baridi usiku...afu wamekata tamaa Mie tumbo la uzazi linaniuma hapa...huwa sipendi kuona watu wanateseka ingali hawakuchagua kuzaliwa😭
That's life diversity, we suffer from what we didn't opt for! Inauma sana
 
Hu

That's life diversity, we suffer from what we didn't opt for! Inauma sana
😭😭😭 Biblia imeandikwa Kuna siku majuto ya wanadamu yatafikia level ya juu Hadi tutasema "NI KHERI MATUMBO YASIYO ZAA" ....Em fikiria nchi zinazopitia Vita huko...unaambiwa Ukraine mpaka sasa watu waliokufa ni more than 40005 ...means walizaliwa ili wapitie hayo?
 
Dhiki, machafuko, mateso, taharuki, maangamizi na maombolezo ni sehemu ya maisha yetu hapa duniani.

Watu wanaangamia duniani, wanaporwa haki zao, wanauliwa kwa kisingizio Cha kutafuta amani.

Haya yote ni kudhihirisha mfumo wenye ubinafsi duniani, utajiri na amani wanaufurahia wenye nguvu na siyo dhaifu.
 
Back
Top Bottom