Kazi ya ulinzi ndugu zangu sio kazi wallah

Kazi ya ulinzi ndugu zangu sio kazi wallah

Yessssssss.. niaje!

Asee kazi nyingine ndugu zangu sio kazi. Mshahara 180 or less na hapo hujafanya kosa. Unagewa mkataba huo unaweza ukalia na unaambiwa kama hauuwez tunakuruhus njia ile nyeupe!.

Hapo unashngaa kila siku unalipwa elf 6 lakini siku hiyo ukikutwa na kosa unakatwa elfu 20. Hapohpo ikifika mwisho wa mwez kulipana mpaka maandamano.

Miaka kadhaa nyuma nilipiga hii kazi! Dah 😁😁 sijui pepo lile la kufanya yoyote nilitolea wapi mana sio kwa ujinga ule. Mshahara kupewa mpaka kivumbi na unapewa mshahara na masimango kibao.

Ilifika kipindi mshahara mnapokea tarehe 15. Kuna mwez flani nikPewa mshahar tarehe 24 yani nimefanya kaz siku 54. Hiz kaz ndo mana wanajazana wazee wa hovyo kwa hovyo tu

Tupia vioja na vimbwanga vya hii kaz hapa!

View attachment 3071851
Umaskini ni laana.
 
mkuu kwanini nikudanganye g4s SGA na Garda hakuna mlinzi anachukua chini ya 350k ninavyoongea hapa Niko lindoni na bank nimekopa m4 shida ww unachanganya makampuni local ya hapa bongo sijui chui security moku nk lkn kampuni hizo hapo juu hakuna anaechukua chini ya hiyo ukibisha nikumbushe tar 25 nikuoneshe salary sleep yangu.
Duh sasa huo mkopo una ulipaje kamanda
 
Kama nyumba yako/makazi yako ina mlinzi na we ni mwanamke jitahidi uwe down… ukiwa down wanajisikia vizuri sana.

Nyanyua mabega ushuhudie shege zao.

Niliwahi ishi nyumba moja ya mheshimiwa mmoja, hauchelewi kuwaona wanapigana wakichelewa kutoana lindoni, utashuhudia vumbi limetimka ujue tayari. Incharge wao mwenyewe mbabaifu basi tu tafrani, ni kazi ngumu sana.

Kuna mwamba mmoja huyo mrefu mweusiii, mlevi hatari, akilipwa mshahara tu haji kazini wiki 😂
 
Ngamiani Tanga Kuna mlinzi mmoja alikua alinda duka usiku, kila vibaka wakipita wanamkuta Yuko kamil gado.
Kuna siku kausingizi kalimpitia mlinzi ws watu, Ile kustuka na kile kijibaridi Cha swala swala, akajikuta Yuko uchi wa mnyama na silaha yake haipo japo maduka yote mawili, yaani lile lake binafsi lililo mwilini mwake na lile duka lenye bidhaa la tajiri hayajavunjwa.
Mlinzi alitumia ule mwanya wa kagiza kwenda nyumbani kuvaa nguo. Kulipokucha alirudi dukani kutangaza kuacha kazi.
Alichawiwa huyo
 
Yessssssss.. niaje!

Asee kazi nyingine ndugu zangu sio kazi. Mshahara 180 or less na hapo hujafanya kosa. Unagewa mkataba huo unaweza ukalia na unaambiwa kama hauuwez tunakuruhus njia ile nyeupe!.

Hapo unashngaa kila siku unalipwa elf 6 lakini siku hiyo ukikutwa na kosa unakatwa elfu 20. Hapohpo ikifika mwisho wa mwez kulipana mpaka maandamano.

Miaka kadhaa nyuma nilipiga hii kazi! Dah 😁😁 sijui pepo lile la kufanya yoyote nilitolea wapi mana sio kwa ujinga ule. Mshahara kupewa mpaka kivumbi na unapewa mshahara na masimango kibao.

Ilifika kipindi mshahara mnapokea tarehe 15. Kuna mwez flani nikPewa mshahar tarehe 24 yani nimefanya kaz siku 54. Hiz kaz ndo mana wanajazana wazee wa hovyo kwa hovyo tu

Tupia vioja na vimbwanga vya hii kaz hapa!

View attachment 3071851
Dhiki kaka sasa tutafanyaje Tuache kwanza🤣🤣
 
Kama nyumba yako/nakazu yako ina mlinzi na we ni mwanamke jitahidi uwe down… ikiwa down wanajisikia vizuri sana.

Nyanyua mabega ushuhudie shege zao.

Niliwahi ishi nyumba moja ya mheshimiwa mmoja, hauchelewi kuwaona wanapigana wakichelewa kutoana lindoni, utashuhudia vumbi limetimka ujue tayari. Incharge wao mwenyewe mbabaifu basi tu tafrani, ni kazi ngumu sana.

Kuna mwamba mmoja huyo mrefu mweusiii, mlevi hatari, akilipwa mshahara tu haji kazini wiki 😂
Kulewa mule kila mshahara ukitoka! Ile kaz ina balaa mkuu.

Kukaa lindo masaa 12 kuna sehem unasimama atleast masaa 8. Ukitoka hapo maji mengi unalala hoi. Asee nikimuona mlinzi ana familia nafsi yangu inafedheheka sana sana
 
Back
Top Bottom