Kazi ya ulinzi ndugu zangu sio kazi wallah

Kazi ya ulinzi ndugu zangu sio kazi wallah

muvi za ki Nigeria anaangalia sana wale jamaa ni kama hazimo,,pia na bongo kina mtanga wakiigiza walinzi,, kwaio anajua ndo walivo
Tofaut kati ya walinzi na gate keeper! Wale wachekeshaji ule ni ugeti kipa sio ulinzi. Wanaosha magari na kumwagilia bostani. Lakin ile characterization inafanan kabisa na walinzi wazee
 
Tofaut kati ya walinzi na gate keeper! Wale wachekeshaji ule ni ugeti kipa sio ulinzi. Wanaosha magari na kumwagilia bostani. Lakin ile characterization inafanan kabisa na walinzi wazee
nmekutana na walinzi kila aina,,coz nshafanya kazi ya kukesha usiku kucha kampuni fulani,, sjawah ona ambao nati zimelegea
 
Hiyo kazi nilishafanya uzuri mm nilikuwa nafanyia usiku alafu sehemu ninayolinda ndio hapo hapo ninapoishi uzuri bosi alikuwa hakai mara zote anasafir ananiac
Kwan kuyaangalia huwezi wajus ishi nao ndio utawajua vizur asilimia kubwa ni chenga, wafitishaji, watu wa temper sana dk 2 nyingi mshagombana nk
sema sasa sisi tulikua tunajilinda wenyewe bwan,saa tatu au nne washalala kitambo tu,wakija mabos inabid tuwashtue lasivyo kiwashwe balaa
 
Hiyo kazi nilishafanya uzuri mm nilikuwa nafanyia usiku alafu sehemu ninayolinda ndio hapo hapo ninapoishi uzuri bosi alikuwa hakai mara zote anasafir ananiac...
Kuna mzee mmoja alikuwa anahamisha maneno kutoka huku anapeleka huku. Kila mtu alikuwa anazungumzia kwa ubaya tu.

Siku flan jamaa wamejngia lindo wakaiba madaf na nazi kwa kushirikiana wakazificha. Baade wakajaza watu kwa marumbano mana waliibiana pale walipficha hazikupatikana

Kumbe yule mzee alimfata mmoja wao wakapanga kuzunguka wenzao waksepa na hela
 
Back
Top Bottom