Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Usiige tabia za mzee wako.m walinzi ni watu poa sana, ukikaa ukapiga nao stori wapo vizuri
nilivyokuwa mdogo nilikuwa nawapelekea chakula walinzi tunapiga stori
sema ni kweli wanaonewa, nakumbuka mzee alikuwa anawawasha vibao anapiga honi anakuta wamelala
na wananywea wanaogopa kusemewa kwenye kampuni zao
Huwa sipendi tabia za watu wanaowanyanyasa au kuwatendea vibaya watu ambao anajua fika hana analoweza kumfanya.