Kazi yako kubwa inayokuweka mjini ni ipi?

geekizuri02

Member
Joined
Oct 16, 2022
Posts
18
Reaction score
60
Nmechoka kuficha ndugu zangu mimi kazi kubwa mjini nabeti hakuna kingine uboss wote nautolea hukoo kwenye igaming jamani, Ni pata potea hapakaliki kivumbi uko kwenye maslots mpaka ugali upatikane...πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Niambie slot yako moja unayoipenda na inapatikana kampuni ipi. Je ushindi wako mkubwa pia uliutoa katika slot ipii? Niwakumbushe tu kazi ni kazi jamani, ilimradi mkono kinywaniπŸ˜„
 
Kuhesabu magali ya watu na majengo na maduka
 
Uchawa na Ukunguni inategemea na mishe na pahala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…