Mowwo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2015
- 1,083
- 1,628
Habarini
Naomba tushee mauzoefu apa kwenye huu uzi. Naamini katika hatua za mwanzo katika umri fulani kila mdau alianza kutafuta pesa. Wengine wameanza mapema sana, wengine wamesoma wakachelewa kuanza kutafuta pesa, wengine watoto wa mashavuni wanakula maisha tuu...nk.
Nikiwa mdg miaka 13 niliajiriwa kwenye biashara ya duka la mtu mmoja ivi Dsm-magomeni, nikawa najitengea tu pande siku bosi hayupo.
Wewe kazi yako ya kwanza ni ipi?
Ulianza shughuli yoyote ya kujipatia kipato ukiwa na umri gani?
Ilikua halali au sii halali?
Uzoefu wa kazi/shughuli yako ya kwanza ulikuaje?
NB: Naamini wengi wetu kazi za kwanza hatukudumu nazo.