Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajira ngumuHii kazi hata kwa kiasi gani sifanyi. Ilikua na kibunda kirefu sio
Mkuu umeanza kuzisaka zamani na una maexperience ya kutosha.1st kupiiga kokoto kwa mikono na kuchimba jiwe za kujengea [emoji846][emoji846][emoji846] (10 yrs old boy)
2nd kuwafanyia usafi wale mabro walikuwa wakiishi katika nyumba za kupanga huku wameajiriwa na status zao za maisha ikawa ngumu kwao kufanya zile kazi za zamu katika majumba yao. Pamoja na kuwachotea maji ya kutumia (15 yrs)
3rd kufundisha part time na tuitions (17/18 yrs)
4th entrepreneurship
5th professional job [emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488]