Mowwo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2015
- 1,083
- 1,628
- Thread starter
- #21
Hiki ndio kitu nilitamani kuskia.Mimi baada ya kumaliza elimu ya Msingi sikufanikiwa kuchaguliwa kwenda Sec school,mshua akanipeleka Garage kujifunza ufundi magari,nilikaa Garage miezi sita kuna brother akaniunganishia kazi kwenye Stationery nikapiga kazi hapo Stationery hatimae sasa hivi namiliki ya kwangu japo sio kubwa kivilee na maisha yanasonga.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kuna level flan mtu unaanzia halaf unakua kutokea pale ulipoanzia mpk unasimama.
Lakini Inahitaji kuwajibika sana