Hiki ndio kitu nilitamani kuskia.Mimi baada ya kumaliza elimu ya Msingi sikufanikiwa kuchaguliwa kwenda Sec school,mshua akanipeleka Garage kujifunza ufundi magari,nilikaa Garage miezi sita kuna brother akaniunganishia kazi kwenye Stationery nikapiga kazi hapo Stationery hatimae sasa hivi namiliki ya kwangu japo sio kubwa kivilee na maisha yanasonga.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Acha tu mkuu, nilikua naona usiku ni mfupi sana, nilikua nikikaa mwenyewe dakika 2 lazima nisinzie kwa uchovu niliokua naoMkuu shule 3? Daily?
Ukiskia mwanzo mgumu ndo huu apa๐
Alhamdulillah mambo sio mabayaLazima upitie njia ngumu kufanikiwa. Nadhani muda huu Mungu anakukunia tu nazi
Lisilochomwa unabeba 1 kwa shilingi 5. Piga hesabu hadi upate 1000๐คฃHii mkuu sina uzoef nayo kwa mazingira yangu. Lakini tofali lililochomwa naona linachubua mikono mida ya kupaki na kupakua
Magari kwa maana ya magari ya usafirishaji. Yani ukiwa na mzigo wa kutuma kwenda popote sisi tunakutafutia usafiri.Udalali wa magari au vipi
Bado unaipiga hii mishe hata party time?
Kila siku tunapambana kupata mishe nzuri zaidi. Ngarenaro pale karibu na kona nairobi kuna chuma za kutosha lkn sijawai waza kuna fursa๐Magari kwa maana ya magari ya usafirishaji. Yani ukiwa na mzigo wa kutuma kwenda popote sisi tunakutafutia usafiri.
Kwasasa nina mbishe tofauti kabisa.
Hapo ndio ilikuwa chimbo langu na mpaka saivi ma bro zangu pale ndi9 kazini kwao.Kila siku tunapambana kupata mishe nzuri zaidi. Ngarenaro pale karibu na kona nairobi kuna chuma za kutosha lkn sijawai waza kuna fursa๐