Kazi yangu inanilazimu kutafuta mke kupitia hapa JamiiForums

Hahaaaa. Wanasemaga utandawazi Bro.
Hahaaaaa not to that extent!!
Matokeo yake unaoa au kuolewa na jitu lililolaaniwa na wazazi wake unabeba shida bure. .

Ndoa siyo jambo rahisi kiivo
 
Ninakuunga mkono kwa hicho kigezo cha elimu.

Ukioa ambaye uelewa wenu wa mambo umeachana sana ni matatizo...tena matatizo makubwa!! Tumeona mfano wa yule Mhadhiri wa chuo kikuu UDOM
 
Huwa hazidumu. Ndoa ni upendo uliothabiti mengine yanafata taratibu ndio maana Ndoa za sasa huwa hazidumu.
thats why wanasaikolojia wanakuambia its better kuoa/kuolewa mkiwa katika hali duni lakin upendo kati yenu uwepo kwani harufu ya mendeleo kwenu iko karibu na muda wa kuishi kwenu unakuwa na GUARANTEE kuliko wenye fedha lakini hawana upendo wala furaha ni utumwa
 
Hahaaaaa not to that extent!!
Matokeo yake unaoa au kuolewa na jitu lililolaaniwa na wazazi wake unabeba shida bure. .

Ndoa siyo jambo rahisi kiivo
Hahaaa. Sema pole pole basi Kaka Sababu maneno mazito haya ujue.

Niseme tu ni kweli kabisa usemalo Kaka. Ndoa sio jambo rahisi.
 
dah Kweli dunia Inaenda kasi sikuizi uchumba masharti Kama Matangazo ya kazi Kwahiyo hapa tulioshia darasa la sita B hatuhusiki.
Mkuu badili mtazamo. Ndio maana kuna karine ya 19 na na karne ya 21. Kama Mungu alikubariki kupata mke/mume kwa njia za karne ya 19 ambapo hata mawasiliano kwa simu yalikuwa duni, basi usitake dunia ibake hapo hapo. Thanks for commenting.
 
You gotta no time for mingling-out? What kind of chik who vows for that?

Haya ngoja waje
My friend, apologies if you have missed my point. Bu I believe, out here are women with same need like mine and I will dearly find one, and I won't call her a chick, but a beautiful wife.
 
Mkuu huo ni mtazamo wako. Mimi sijaweka kigezo hicho kwa bahati mbaya, japo moja ya lengo ni kufilter spammers kwenye PM yangu.
 
Hahaaaaa not to that extent!!
Matokeo yake unaoa au kuolewa na jitu lililolaaniwa na wazazi wake unabeba shida bure. .

Ndoa siyo jambo rahisi kiivo
Mkuu kwanini usifungue uzi wa uchambuzi na maoni yako juu ya hicho unakiamini kuliko kuwa negative kwenye thread yangu maalumu??
 
Mmh. Sijuagi kwa nini nimejikuta nawaza ninachokiwaza lol.

Haya Mkuu Kila la kheri Mkuu katika kumpata mwenza hasa humu ndani ya jf kama matarajio yako Mkuu.
Umewahi siti [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…