Kazi yangu inanilazimu kutafuta mke kupitia hapa JamiiForums

Naomba ufungue uzi wa hiyo elimu ya Saikolojia. Unapoandika theory zako kwenye mada yangu tena personal, you are frankly attacking me.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] and that would be the end of his stunts, coz the tight schedule is his real job that dude is being paid for!!
Sijaweka mabo yangu yote kwenye thread, sasa hiyo "his real job that dude is being paid for" ni chuki binafsi au hutaki tu nipate. Please people.
 
Kila rakheri Mkuu Gentleman, Upate hitaji la moyo wako, ila sisi wa std 7 umetutenga eti okey nasubiria kama ukishusha vigezo nikuchekiii
 
Kila rakheri Mkuu Gentleman, Upate hitaji la moyo wako, ila sisi wa std 7 umetutenga eti okey nasubiria kama ukishusha vigezo nikuchekiii
Mkuu siwezi kuoa wote. So nimechagua mwenye Diploma au Degree. Kama anayo yeye mwenyewe atajua why. Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…