Kazi yangu inanilazimu kutafuta mke kupitia hapa JamiiForums

Kazi yangu inanilazimu kutafuta mke kupitia hapa JamiiForums

Mnazingua kwel nyie humu ndan na hasa wengi mnaandika alaf hammaanishi mnacho kiandika
 
Hata wanawake wa siku hizi hawapendi wanaume waliobize kupitiliza,,,,Halafu unataka msomi mwenzio,,,Good selection.
Wauswahilini wanapita mbali sanaaa
Kwa hiyo watu wasifanye kazi waendekeze starehe. Tutaendelea au tutazidi kuwa masikini?
 
Back
Top Bottom