Kazi za kiwanda cha simenti Tanga

Hili Tangazo ni fake!! Hawa ni matapeli tu!!
Heshima ni kitu cha bure hebu tuambie ulichotapeliwa?

Kama wewe upo na kazi shukuru Mungu maelfu ya watu hawana kazi acha kuvunja moyo wenzako.
Kila mtu anajua kuwa kuna matapeli kwenye inshu za kazi na lazima umakini uwepo,hebu tuambie umefanywa nini hadi kusema hilo tangazo ni utapeli?
 
Hizo contact information mbona ni private??
 
Hizo contact information mbona ni private??
Unadhani kila kampuni wanalazimika kutumia officials email kwenye maombi ya kazi? Kuna sheria ya nchi wanavunja?

Option A ni kupeleka maombi ya kazi kwenye geti la kiwanda fanya hilo kama unahisi ni utapeli.
Mtu kama wewe utapeliwe una nini aisee?
 
Mimi ni mfanyakazi wa Tanga cement na hizo kazi hazipo hapa kiwandani, ni utapeli tu!!
Hicho sio Tanga cement ni kiwanda kingine.
Yaani wewe ufanye kazi Tanga cement unajuaje yanayohusu kiwanda kingine ambacho wewe hufanyi kazi?
Kweli wewe ni hasara!!
Yaani ni sawa umeolewa na unajifanya kujua kila urefu wa kila dushe hata kama huja nyanduliwa nao.. inawezekanaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…