Kazi za kiwanda cha simenti Tanga

Kazi za kiwanda cha simenti Tanga

Hilo Tangazo sio la Tanga cement dada.
Au unajua Tanga nzima kiwanda cha cement ni Tanga cement pekee?
Vijana wa siku hizi hamtaki kujifunza zaidi ni ubishi wa kijinga na ujuaji.
Wewe si ndio umesema Tanga cement wanatoa ajira?,au tumekunukuu vibaya
 
Leta hizo nyuzi watu wazione.
Kubali tu wewe ni empty set + mwongo + unapenda kujikweza kumbe bwabwa tu.

Mods wanaweza kucheck na kiwanda kuona uhalali wa nafasi hizo za kazi endapo ni utapeli nipo tayari kupewa life time ban hapa JF.
Kwani ukipewa life ban hapa jf unapungukiwa na nin?,
 
Hicho sio Tanga cement ni kiwanda kingine.
Yaani wewe ufanye kazi Tanga cement unajuaje yanayohusu kiwanda kingine ambacho wewe hufanyi kazi?
Kweli wewe ni hasara!!
Yaani ni sawa umeolewa na unajifanya kujua kila urefu wa kila dushe hata kama huja nyanduliwa nao.. inawezekanaje?
Aisee...matapeli mna matusi sana
 
Back
Top Bottom