Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Kweli MkuuKujenga Taifa sio lazima kubeba matofali
Jana nimeona kwenye TV Ilemela Mwanza mkuu wa mkoa anakabidhi madarasa yaliyojengwa na serikali.Sasa huko Meru ni nchi tofauti ambapo wananchi wajenge madarasa tena kwa kulazimishwa?Michango tulishatoa elfu 20 kwa ajili ya maendeleo ya kijijji,Bora wangesema haitoshi tuongeze kuliko kulazimishwa watu Kwenda kujenga.Pole sana mkuu ila ndio maisha na sheria za kina mbisee iyo ni kawaida sana
ndio changamoto zilizopo huko mkuu hao watu huwa wanasheria mnoo. Pole sana... ila tafta namna ata yakuongea na viongozi wa kijiji ka mtaelewana mjue mtafanyajeJana nimeona kwenye TV Ilemela Mwanza mkuu wa mkoa anakabidhi madarasa yaliyojengwa na serikali.Sasa huko Meru ni nchi tofauti ambapo wananchi wajenge madarasa tena kwa kulazimishwa?Michango tulishatoa elfu 20 kwa ajili ya maendeleo ya kijijji,Bora wangesema haitoshi tuongeze kuliko kulazimishwa watu Kwenda kujenga.
Mimi nimeajiri wafanyakazi wangu kwa ajili ya kazi zangu na sio Kwenda kufanya kazi za Kijiji!