Kazi za kujitolea imekuwa lazima?

Kazi za kujitolea imekuwa lazima?

Kujenga Taifa sio lazima kubeba matofali
Kweli Mkuu
Unapokatwa Kodi paye Toka kwenye mshahara,umenunua vocha ,soda,nguo ,kutuma pesa,kununua umeme n.k unakuwa umelipia Kodi ambayo itatumika kwa maendeleo ya nchi.Sasa ikitokea mtu anayekuzuia usiingie kazini ili ukafanye kazi za kujenga madarasa.Ikitokea ukafutwa kazi Ina maana hutaweza kulipa Kodi na hii itakwamisha maendeleo ya nchi!
 
Pole sana mkuu ila ndio maisha na sheria za kina mbisee iyo ni kawaida sana
 
Pole sana mkuu ila ndio maisha na sheria za kina mbisee iyo ni kawaida sana
Jana nimeona kwenye TV Ilemela Mwanza mkuu wa mkoa anakabidhi madarasa yaliyojengwa na serikali.Sasa huko Meru ni nchi tofauti ambapo wananchi wajenge madarasa tena kwa kulazimishwa?Michango tulishatoa elfu 20 kwa ajili ya maendeleo ya kijijji,Bora wangesema haitoshi tuongeze kuliko kulazimishwa watu Kwenda kujenga.
Mimi nimeajiri wafanyakazi wangu kwa ajili ya kazi zangu na sio Kwenda kufanya kazi za Kijiji!
 
ndio changamoto zilizopo huko mkuu hao watu huwa wanasheria mnoo. Pole sana... ila tafta namna ata yakuongea na viongozi wa kijiji ka mtaelewana mjue mtafanyaje
 
Kwa hasira niliyo nayo petrol kupanda bei, cement, mabati, gypsum board, tozo kila mahali alafu mgambo aje aguse mali yangu kisa sijaenda kujenga sijui madarasa wakat Kodi nalip katka kila ktu nitamtia ulemavu wa maisha aise
 
Back
Top Bottom