Kazi za kulea wazee huko MAJUU..

Kazi za kulea wazee huko MAJUU..

Mwenyezi Mungu, awape uvumilivu na wayatakayo yakajibiwe haraka. Kila anayetamani jambo lake lifanikiwe. Huyo dada masikini, inambidi avumilie, huenda ana watoto na wazazi wake wanamtegemea. Nayeye ndiye pekee wa kuwafanya wale na mengine. 😥😥😥😥😥
 
Back
Top Bottom