Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Kama mpaka hili unauliza mjadala huu hauuwezWataka nani akupe facility mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mpaka hili unauliza mjadala huu hauuwezWataka nani akupe facility mkuu?
Pepa ndio shida, wengi tulikua na student visa.Hamna kazi, zipo ni nguvu zako tu, labda kama huna karatasi geniune.
Process part time sutdent working permit, its possible jaribu.Pepa ndio shida, wengi tulikua na student visa.
Okay, nilishatoka huko Kwa sasa nipo zangu Usukumani, Lake zone.Process part time sutdent working permit, its possible jaribu.
Ila sjawah skia wazee wa kibongo wanafanya hiviWazee na watto akili zao ziko sawa
Waafrica tuna laana, mtu uache ardhi imejaa rutuba kukuki TZ kwenda ulaya kizoa kinyesi cha madingi... ha ha ha ha
Uko kwimba au Ngudu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji7][emoji7][emoji7][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Okay, nilishatoka huko Kwa sasa nipo zangu Usukumani, Lake zone.
Kwamba mtoto wako wa miaka mitano akufanyie hivi utamuacha salama?Wazee na watto akili zao ziko sawa
asante kwa kushiriki..Hakuna maajabu hapo
Wanapata zaidi ya hizo bossHizo kazi Kwa Ulaya ndio zinalipa sana, watu wamejenga majumba Africa Kwa hizo kazi.
Kwa United Kingdom watu wanalipwa mpaka £10 Kwa saa Kwa hizo mishe, so Kwa wiki mtu kupata £500 ni kawaida.
Sasa hapo kosa kiko kwa mlezi maana amevimbisha midomo utadhani hiyo lazi kalazimishwa.
sawa tunafikaje? karatasi zipo hizo ni kazi za ma social workers na tunao wengi kwelikweli na wapo tayari issue ni kufika tuHamna kazi, zipo ni nguvu zako tu, labda kama huna karatasi geniune.
Watu wanasomea kabisa kuwatunza , wazee baadhi wanakuwa na akili za kitoto hata kujisaidia bila ya kujua . Tena bora mtoto maana kadri anavykua akili inakaa sawa ila wazee ndio wanazidi kuwehukaKwamba mtoto wako wa miaka mitano akufanyie hivi utamuacha salama?
Weusi wachache ila wahindi na waarabu hapa bongo wapo wanasumbua sana mahouse girls.Ila sjawah skia wazee wa kibongo wanafanya hivi