Kazi za kulea wazee huko MAJUU..

Kazi za kulea wazee huko MAJUU..

Hizo kazi Kwa Ulaya ndio zinalipa sana, watu wamejenga majumba Africa Kwa hizo kazi.
Kwa United Kingdom watu wanalipwa mpaka £10 Kwa saa Kwa hizo mishe, so Kwa wiki mtu kupata £500 ni kawaida.
Wanapata zaidi ya hizo boss
Minimum wages tu ni £11:44
Ukiwa na cheti unapata hela nzuri sana
Huyo dada naona alikuwa anarekodi tu na kujifanya mvumilivu ila huwa wanakula makofi ya kutosha tu wakifanya hivyo
 
Kwamba mtoto wako wa miaka mitano akufanyie hivi utamuacha salama?
Watu wanasomea kabisa kuwatunza , wazee baadhi wanakuwa na akili za kitoto hata kujisaidia bila ya kujua . Tena bora mtoto maana kadri anavykua akili inakaa sawa ila wazee ndio wanazidi kuwehuka
 
Back
Top Bottom