Kazi za kulea wazee huko MAJUU..

Kazi za kulea wazee huko MAJUU..

Hiyo ni nyumba ya kuhudumia vichaa. Hata bongo wanafanya kazi kwenye hospitali wodi za vichaa hukutana na dhahma hizo
 
Watu wanatemewa mate bongo hapo hapo kila siku. Wengine wanachapwa hadharani na wageni ndo sembuse huyo? Kila kazi ina changamoto zake.
 
Kwa wastani wa kiwango cha chini kwa mwezi ni zaidi ya sh.milioni 8 za kitanzania.
 
Back
Top Bottom