Kazi za kulea wazee huko MAJUU..

Hapo ni kuangalia mpunga hivyo vitimbi vya wazee unavipotezea japo inahitaji uvumilivu kiwango cha SGR maana bila hivyo unaweza kukuta mikono imeunganishwa kwa chuma kigumu huku unaingizwa kwenye gari yenye taa juu zinazolia
 
Mwenyezi Mungu, awape uvumilivu na wayatakayo yakajibiwe haraka. Kila anayetamani jambo lake lifanikiwe. Huyo dada masikini, inambidi avumilie, huenda ana watoto na wazazi wake wanamtegemea. Nayeye ndiye pekee wa kuwafanya wale na mengine. πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…