Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Sasa huyo mzee si ni kama mtoto tu, huyo dada anakuwa serious badala ya kucheza nae kitoto toto michezo ya kupuliza.naomba kwa Mungu japo si kila siku niwe na uvumilivu angalau wa huyo dada
Huyo mzee ni kumfuata hapo unampiga bonge la denda!haaa,ningekua mimi ni kun faya kun litakalokua na liwe.
bbc na Aljazeera pangekua na makala maalum kwa hilo tukio.
Hapa nyumbani ukinisumbua nakufanyia jambo ambalo shetani atakaa kando ajifunze,Weusi wachache ila wahindi na waarabu hapa bongo wapo wanasumbua sana mahouse girls.
Tusichukulie ni wazungu wote! Familia yangu ni mchanganyiko wa wazungu na wa Bantu, wala hakuna matatizo.
umeelewa lakin uhusiano wa huyo dada na huyo mzee?Tusichukulie ni wazungu wote! Familia yangu ni mchanganyiko wa wazungu na wa Bantu, wala hakuna matatizo.
Hili la kutazamwa zaidiCamera imeongeza uvumilivu kidogo
Hatari sana
hapo ilipaswa kuwa patience sio patient ndugu nshomilePatient is power , the trials we go through draw us closer to GOD.
Wapo wanaofanya kazi za kudhalilisha kuliko hio😅😅Aisee hiyo kazi siwezi maana naweza vumilia vyote ila sio mate