Kazi za kulea wazee huko MAJUU..

Ok Mimi niliwahi kuishi South East
Safi sana. Nili'enjoy' sana nilipokuwa huko, hasa kutembelea watu mbalimbali na wao kututembelea. Tulikuwa na Africa Day kwenye residence yetu mara moja kila mwezi na Cultural Day, chuoni mara moja kila mwaka.
 
Wewe vipi umekata senta bolti ?
Au fyuzi imeuungua?
 
Niunganishe basi Mkuu nikashike dola😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…