Kazi za ovyo kwenye nchi hii

Huu uzi wako unaashiria huna uwezo wa kupata milo mitatu kwa siku. Hali yako ni mbaya.
 
Mara nyingi habari za hivi huletwa na majobless na watu waliokata tamaa ya maisha,huwezi kuwa na maisha yako mazuri na kazi zako nzuri na uko bize na mambo yako alafu ukaanza kufatilia kujua ni kazi zipi ni za hovyo.
 
Naskia lazima umpe kiasi RTO akuweke sehemu ya barabara nzuri.
Yah mkuu mishahara yao ina range humo na wengine wanaanza na 450000 sema unakuwa unapanda kila mwaka halafu bahati yao wana access na mikopo kirahisi.
Ila kazi ya upolisi ukiwa kitengo unakula mema ya nchi sio mbaya kama inavosemwa,maana kama unaingiza angalau 50 kila siku nje ya mshahara upo vizuri
 
Ila kazi ya upolisi ukiwa kitengo unakula mema ya nchi sio mbaya kama inavosemwa,maana kama unaingiza angalau 50 kila siku nje ya mshahara upo vizuri
Yah kabisa.
Ila siku hizi wamekuwa vibaka aisee. Kuna tukio wamewafanyiwa wauza simu pande hizi, yani ni wizi kama wizi mwingine.
Polisi asinuse kuwa una pesa kwa sasa anaweza hata kukupa kesi ya mauaji
 
Yah kabisa.
Ila siku hizi wamekuwa vibaka aisee. Kuna tukio wamewafanyiwa wauza simu pande hizi, yani ni wizi kama wizi mwingine.
Polisi asinuse kuwa una pesa kwa sasa anaweza hata kukupa kesi ya mauaji
😂Alafu wanaita raia waharifu, hao jamaa ni majambazi ndio mana siku hizi wengi wanasukuma gari
 
Roho ya kimasikini imetawaliwa na
chuki.
kinyongo
Uongo
kisasi.
hila na ushirikina
 
Ushawahi kua asikari polisi au magereza?????Ushawahi kua mwalimu katika ngazi yoyote?????
 
Hongera mtoa mada uliyebarikiwa kazi njema, Mungu aendelee kukujazilizia.

Kwa upande wangu, chema ni kile kimfaacho mtu katika dunia hii.........watu wanategemea na kutegemewa katika hizo kazi ambazo ni takataka kwako. Wengine ndo everything katika extended familia zao kwa kazi hizo.
Ninapotafutia mkate wa kila siku kuna mlinzi anayelipwa 80,000/= kwa mwezi....anaiheshimu mno kazi yake na anajivunia nayo kwakuwa inamsaidia sana katika mahitaji yake.

Mungu ni wa ajabu sana; katika mfumuko huu wa bei, sote tunaishi na kuendesha familia......sisi wenye kazi za hovyo na nyie wenye kazi za maana.

Daima nitamheshimu kila mmoja mwenye shughuli halali.
 
Koma
 

Hamna askari JF wewe,ni kama kukutana na askari anaongea kiingereza,huyo ni feki.

Nakwambia ukweli kabisa,sema tawire.
 
Ushawahi kua asikari polisi au magereza?????Ushawahi kua mwalimu katika ngazi yoyote?????
Kaka yangu ninae mfuata ni mwalimu songea sec.,nimefungwa miaka 4 na nimehama magereza zaidi ya 6...

Na leo nime prove kuwa trafki wana hali ngumu baada ya kunidai posho eti kisa sijavaa HELMET wakati naendsha tractor

Siwezi kuwazngizia naeleza tokana na uzoefu wangu
 
Kumbe hata walimu wa vyuo vikuu nao ni choka mbaya?
 
Basi kaka kama umepitia hayo nakubaliana na wewe!!!!Nilidhani hujawahi pitia hayo
 
Ila tractor na helment🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…