Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Wenye akili 🐸 si unajua idadi yaoSasa mbona timu hiyo mliipangia mchezaji wa EPL yaani Gael Bigirimana wa Newcastle, halafu bado unasema wachezaji bora hawakucheza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye akili 🐸 si unajua idadi yaoSasa mbona timu hiyo mliipangia mchezaji wa EPL yaani Gael Bigirimana wa Newcastle, halafu bado unasema wachezaji bora hawakucheza?
Kikosi cha wananchi kilichoshindwa kuingia makundi CLNdio mkome kujilinganisha na levo za yanga inahitaji miaka 5 mpaka 6 kukipata kikosi walichonacho wananchi,,comparison mnaifanya nyie pindi mnaposhinda na mkijibiwa mnatokomea kusikojulikana au mnakuja na hoja nyepesi zisizoeleweka
Bigirimana anaweza kucheza kikosi cha kwanza akiwa simba na sio yanga nadhani nimeelewekaSasa mbona timu hiyo mliipangia mchezaji wa EPL yaani Gael Bigirimana wa Newcastle, halafu bado unasema wachezaji bora hawakucheza?
Haha haaaaaaa hahahaha hahaaaaaaaaaaaa...... Ngada FC, Sembe FC,Pusha FC, Punda FC, Bwimbwi bana.Eti na wao U20 wao ni Kibu Denis. Simba buana![emoji1][emoji1][emoji1]
Inatoka simiyu inacheza daraja la ngapi bwana Ngada? Na mikia walicheza na timu inayochexa daraja la ngapi labda tueleweshane kidogo inawezekana alosto tiyali zimeanzaKelele zote hizi
Timu mliyoifunga inatoka Maswa Mkoani Simiyu.
Timu ambayo hata Temeke Scud inaweza ifunga hata goli 10 kipindi Cha kwanza tu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Unalo kombe lolote la iyo club bingwa? Au kukutana na wale ihefu wa angola ukafuzu ndio kelele mtaani? Timu ya kawaida nitajie wachezaji wako wanaoweza kupata namba kikosi cha kwanza cha yanga kwa sasa,,Mashabiki vilaza kama nyie wapo wengi kwenye timu yenu wakiona yanga anashinda popote akili zao zinahamia kwenye bahasha, mara jezi nyeusi, mara marefa, amtaki kuukubali ukweli ya kuwa kikosi chenu ni sawa na gari la mkaa trip shamba trip gereji, Kikosi cha kumtegemea chama asipokuwepo mnaomba mpira uishe kuweni na adabu vinginevyo mtaendelea kubatizwa kwa moto mpaka akili ziwakae sawa msipoboresha icho kikosi kwa kutegemea wachezaji wa kuokoteza kama mafungu ya nyanyaDuuuh ama kweli nimeamini watz wengi ni vilaza wa kutupwa aiseee,mihemuko mihemuko mihemuko.
Kikosi Bora kipi ambacho kimeangukia pua club bingwa?
Ivi nyie huko shuleni mnaenda kujifunza Nini ?
Hata takwimu tu zinawashinda kuelewa uhalisia wa Mambo.
Yanga ni timu ya kawaida Sana tena Sana.
Ukweli ndio huo ,hutaki kuelewa baki na ujinga wako Ila muda utakuhukumu.
Lakini si alisajiliwa na Yanga kutoka Newcastle? Kwa nini mlisajili mchezaji wa kuja kuwa kikosi cha pili, tena kutoka EPL?Bigirimana anaweza kucheza kikosi cha kwanza akiwa simba na sio yanga nadhani nimeeleweka
Alisajiliwa kama alivyosajiliwa mlete mzungu dejan hili aingie kikosi cha kwanza lakini ikashindikanaLakini si alisajiliwa na Yanga kutoka Newcastle? Kwa nini mlisajili mchezaji wa kuja kuwa kikosi cha pili, tena kutoka EPL?
Kama mlishindwa kuifunga Al Hilal ya Sudan bado mnawazarau walio makundi clUnalo kombe lolote la iyo club bingwa? Au kukutana na wale ihefu wa angola ukafuzu ndio kelele mtaani? Timu ya kawaida nitajie wachezaji wako wanaoweza kupata namba kikosi cha kwanza cha yanga kwa sasa,,Mashabiki vilaza kama nyie wapo wengi kwenye timu yenu wakiona yanga anashinda popote akili zao zinahamia kwenye bahasha, mara jezi nyeusi, mara marefa, amtaki kuukubali ukweli ya kuwa kikosi chenu ni sawa na gari la mkaa trip shamba trip gereji, Kikosi cha kumtegemea chama asipokuwepo mnaomba mpira uishe kuweni na adabu vinginevyo mtaendelea kubatizwa kwa moto mpaka akili ziwakae sawa msipoboresha icho kikosi kwa kutegemea wachezaji wa kuokoteza kama mafungu ya nyanya
Hatukumuona dhidi ya ihefu wala al hilal au vipers fcNafikiri ubora wa timu unaangaliwa pia na upana wa kikosi chenye wachezaji wanaoweza kutoa ubora ule ule walionao wachezaji wanaoanza kikosi cha kwanza, Yanga wameonyesha ni timu yenye kikosi kipana kisichomtegemea mchezaji mmoja kupata matokeo.
Wameonyesha hilo kwenye mechi za ligi tofauti na timu nyingine zote zinazoshiriki ligi kuu na pia wameendelea kuonyesha kwenye mchezo wa leo kombe la Azam na wameondoka na ushindi mnono dhidi ya timu ya daraja la kwanza kurugenzi ya Simiyu, Wachezaji wafuatao wa kikosi cha kwanza awakucheza kabisa;
Djigui Diarra
Kibwana Shomari
Yannik Bangala
Dickson Job
Joyce Lomalisa
Feisal Salum
Kharid Aucho
Jesus Moloko
Fiston Mayele
Salum Abubakar
Abutwalib Msheri
Kwa maana hiyo ni timu ambayo imejengwa vizuri kwa uwiano wa viwango vya wachezaji tumeona jana Mozes Phiri kafunga goli 3 na leo kajibiwa na bwana mdogo Clement Mzize aliyeweka kambani goli 4, Phiri kacheza na timu inayoshiriki ligi ya mkoa lakini bwana mdogo kacheza na timu inayoshiriki ligi daraja la kwanza(first league) na ameperfom bila ya uwepo wa Mayele, Simba jana wamejaza mastaa wao wanawategemea dhidi ya timu dhaifu lakini utofauti wa ubora wa vikosi umeonekana leo baada ya Wananchi kuchezesha kikosi b na wakaibuka na ushindi wa goli 8 zile zile walizoshinda wale walioweka full mkoko. Pongezi kwa kijana Mzize anakuja vizuri akitulia.
Mbona dhidi ya ihefu wote hawa walicheza kama wameshiba maharage ya mbeyaSquad 1
1. Diarra
2. Kibwana
3. Lomalisa
4. Bangala
5. Job
6. Aucho
7. Moloko
8. Sure boy
9. Mayele
10. Fei Toto
11. Kisinda
Just imagining wote hawakuepo [emoji47] na mtu kala 8
Na Kuna timu Jana imeweka Full Mziki.