Kazi za Phiri zinafanywa na bwana mdogo Clement mzize na Yanga wala hawaringi

Ndio mkome kujilinganisha na levo za yanga inahitaji miaka 5 mpaka 6 kukipata kikosi walichonacho wananchi,,comparison mnaifanya nyie pindi mnaposhinda na mkijibiwa mnatokomea kusikojulikana au mnakuja na hoja nyepesi zisizoeleweka
Kikosi cha wananchi kilichoshindwa kuingia makundi CL
 
Sasa mbona timu hiyo mliipangia mchezaji wa EPL yaani Gael Bigirimana wa Newcastle, halafu bado unasema wachezaji bora hawakucheza?
Bigirimana anaweza kucheza kikosi cha kwanza akiwa simba na sio yanga nadhani nimeeleweka
 
Kelele zote hizi
Timu mliyoifunga inatoka Maswa Mkoani Simiyu.
Timu ambayo hata Temeke Scud inaweza ifunga hata goli 10 kipindi Cha kwanza tu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Inatoka simiyu inacheza daraja la ngapi bwana Ngada? Na mikia walicheza na timu inayochexa daraja la ngapi labda tueleweshane kidogo inawezekana alosto tiyali zimeanza
 
Unalo kombe lolote la iyo club bingwa? Au kukutana na wale ihefu wa angola ukafuzu ndio kelele mtaani? Timu ya kawaida nitajie wachezaji wako wanaoweza kupata namba kikosi cha kwanza cha yanga kwa sasa,,Mashabiki vilaza kama nyie wapo wengi kwenye timu yenu wakiona yanga anashinda popote akili zao zinahamia kwenye bahasha, mara jezi nyeusi, mara marefa, amtaki kuukubali ukweli ya kuwa kikosi chenu ni sawa na gari la mkaa trip shamba trip gereji, Kikosi cha kumtegemea chama asipokuwepo mnaomba mpira uishe kuweni na adabu vinginevyo mtaendelea kubatizwa kwa moto mpaka akili ziwakae sawa msipoboresha icho kikosi kwa kutegemea wachezaji wa kuokoteza kama mafungu ya nyanya
 
Acheni ujinga hata simba alikuwepo
Miraji athumani
Rashid juma
Na abdul Suleiman na walikuwa wanakiwasha kweli kweli ila hata sijui walipoteaje kwenye ramani ya soka la Tanzania yaani kiufupi dogo ajipange ulozi unarudisha nyuma soka letu hao wote niliowataja walipata majeraha na wakakaa nje ya uwanja mwaka mzima na safari yao ikaishia hapo mwambie dogo ajipange vita ni kubwa sana nje ya uwanja endeleeni kumjaza ujinga tu huyo dogo.
 
Bigirimana anaweza kucheza kikosi cha kwanza akiwa simba na sio yanga nadhani nimeeleweka
Lakini si alisajiliwa na Yanga kutoka Newcastle? Kwa nini mlisajili mchezaji wa kuja kuwa kikosi cha pili, tena kutoka EPL?
 
Lakini si alisajiliwa na Yanga kutoka Newcastle? Kwa nini mlisajili mchezaji wa kuja kuwa kikosi cha pili, tena kutoka EPL?
Alisajiliwa kama alivyosajiliwa mlete mzungu dejan hili aingie kikosi cha kwanza lakini ikashindikana
 
Kama mlishindwa kuifunga Al Hilal ya Sudan bado mnawazarau walio makundi cl
 
Hatukumuona dhidi ya ihefu wala al hilal au vipers fc
 
Squad 1

1. Diarra
2. Kibwana
3. Lomalisa
4. Bangala
5. Job
6. Aucho
7. Moloko
8. Sure boy
9. Mayele
10. Fei Toto
11. Kisinda

Just imagining wote hawakuepo [emoji47] na mtu kala 8

Na Kuna timu Jana imeweka Full Mziki.
Mbona dhidi ya ihefu wote hawa walicheza kama wameshiba maharage ya mbeya
 
Ahaaaa eti bwana mdogo mzinze goli 4
Alafu phiri goli 3 mleta mada karudie kutazama vizuri mechi ya Simba na Eagle uje na takwimu sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…