Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina maana kaka ila watu wanatoa sana rushwaTumsadie kuwakamata
USSR
Kutoa vitambulisho kwenye baa ni upumbavu.TISS wa Tanzania wote ni mbwa koko wakianzia na lile polisi lao eti DG , pumbafu kabisa kazi kutoatoa mavitambulisho bar, kimsingi hawana lolote wanaloliweza trust me , ukiona failures ndio wako kwenye inteligence ujue kuna shida mahala
Anafanya kaz huko huko
Kama huyo mtu unamwamini mpe tu maan sahv jwtz na Tiss wanachukua watu kimyakimya hutokaa uskie wametangaza kama ilivy vitengo vingine mfano mwez ulopita nyuma kuna gazet nliona polisi,magereza,zimamoto na uhamiaji wanataka idad fulan ya watu wajiunge.Jamani mwenye clue na hili tusije kupigwa maana ni mpunga mrefu tunaambiwa tutoe kazi ipatikane.
Je kuna ukweli?
Anakwenda kuibiwa mtu hapa. Wajinga ndio waliwao.Kama huyo mtu unamwamini mpe tu maan sahv jwtz na Tiss wanachukua watu kimyakimya hutokaa uskie wametangaza kama ilivy vitengo vingine mfano mwez ulopita nyuma kuna gazet nliona polisi,magereza,zimamoto na uhamiaji wanataka idad fulan ya watu wajiunge.
Na Hadi leo sijackia kiliendelea nn lakn JWTz na TISs hawakutangaza kabisaaaa na hata wanaoenda kozi uwa kimykimy sana. Cha kukushaur fanya kama unafumba macho tu mpe anachotaka kikubwa umri wako uwe sio juu ya 25 usiwe umeoa/kuolew.
Kingine rekodi safi ya uhalifu na usiwe na makosa kwn naskiaga wanakuchunguza kwanzia chini yaan uliposoma na history yako kubwa zaidi tunza damu yako iwe swafi na swalama.
Asubuh njema
Bora apigwe pesa kuliko kupigwa na kitu chenye ncha kali aka babu Juma aka Abdallah kichwa wazi.Mrs wanakupiga.
Kweli njaa ndio inapoteza maarifa-watu wanaanza kuota vitu vya ajabu ajabu.Tatizo kubwa la vijana sio kukosa maarifa bali njaa hupoteza maarifa! Vijana hawana kazi maalumu wapo usingizini wanaota ndoto za mafanikio
Hao matapeli wa sinza wanataka kumpiga mshikaji halafu kaingia mazima.TISS Hawa ajiri watu kwa matangazo ya kazi wanamfuatilia mtu wanamchunguza mwisho wanamuita na kum offer kazi
Na sio rahisi kuhakiki kama mtu anafanya kazi huko labda uende ofisini kwao makao nakuu uka prove
So watu wanatumia njia hiyo kuwalaghai vijana na kuwatapeli ni utapeli kama utapeli mwingine so kua muangalifu usije kulia
Hivi ni hawa ajiri au ni hawaajiri Mkuu?TISS Hawa ajiri watu kwa matangazo ya kazi wanamfuatilia mtu wanamchunguza mwisho wanamuita na kum offer kazi
Na sio rahisi kuhakiki kama mtu anafanya kazi huko labda uende ofisini kwao makao nakuu uka prove
So watu wanatumia njia hiyo kuwalaghai vijana na kuwatapeli ni utapeli kama utapeli mwingine so kua muangalifu usije kulia
Lini utaupeleka huo Uthibitisho PCCB?wengi mbona wameingia kwa rushwa wengi... TISS ,JWTZ au Polisi.
Wengi sana
Hiyo M9 si ni Mtaji tosha tu na mkubwa?Ni kweli kabisa kuna mtu hadi M9
Umeandika kwa Chuki, Upumbavu na Uwendawazimu unaokusumbua kwa muda mrefu.TISS wa Tanzania wote ni mbwa koko wakianzia na lile polisi lao eti DG , pumbafu kabisa kazi kutoatoa mavitambulisho bar, kimsingi hawana lolote wanaloliweza trust me , ukiona failures ndio wako kwenye inteligence ujue kuna shida mahala