Kazi za viwandani sio kazi, ni zaidi ya mateso

Kazi za viwandani sio kazi, ni zaidi ya mateso

jamaikatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
400
Reaction score
1,429
Kazi za viwandani sio kazi ni zaidi ya mateso, imagine unafanya kazi masaa 12 unapewa 4000 hapo bado hujatoa hela ya nauli, chakula na bado haubaki na hata mia.

Asilimia kubwa ni viwanda vya wahindi na waarabu ndio wanaongoza kwa kulipa malipo kidogo kwa wafanyakazi na sasa hivi wabongo nao wameanza kuiga kama wahindi na waarabu wanavyofanya
Kiusema kweli kazi ni ngumu nzito watu tunateseka alafu malipo yenyewe kidogo kwa kweli serikali naomba itusaidie wafanyakazi wa viwandani angalau tupate maslahi.

NB: Walio wahi kufanya kazi viwandani ndio wanajua mziki wake ukoje, kama una kazi yako yoyote unaona ina maslahi , viwandani usiende hakufai kabisa bora kuuza maji kariakoo
 
Back
Top Bottom