Nimekumbuka godaun kwa wachina kariakoo wanalipa 5000 kazingumu sana kubeba maviroba ya yebo na mabox ya viatu wanashanga mbona wana wanafurahia kazi kumbe kila day tunasepa na box za viatu tunaenda wauzia wahuni waaomwaga chini msimbazi wamekuja kushtuka washachelwa sana 😂😂Umenikumbusha mbali serengeti brew
muhindi alifunga ma CCTV kila kona ila wajuba tulikuwa tunasepa na kreti la bia kila siku!
Jibane upate mtaji ukanzishe biashara ndogo ndogoKazi saa mbili asubuhi hadi saa mbili jioni
Kazi ngumu kinoma halafu mtu unalamba buku 4 nipo kwa wahindi mzee unachoongea ni sahihi kabisa