Jamaa aliamua kuuza vifaa vya ujenzi vyote nondo, misumari, mbao na vinginevyo vilipokaribia kuisha akaingia mitini yaan akaacha kazi rasmi..Ajira za bongo njia ni mbili tu.
Huwe mwaminifu uishie kwenye umasikini au ujiongeze ule maisha. Chagua utakachoweza
Mabeberu ndio yana utu lakini hao wachina waarabu na wahidi hawana ubinadamuHii haikubaliki Zanzibar kazi ya siku moja hamna chini ya 20,000 kwanini wabongo wanakubali huu upuuzi,ndio sababu ya kujaza watu mitaani kila mtu anauza kitu..Waandamane kwa wazili anaehusika wasikubali kulipwa chini ya 20,000 kwa siku.kuna kiwanda koja tu hapa Kisemvule cha Wajerumani maadui wa serikali( Beberu)
Oya Andaa kabisa laki mbili yangu ila kazi ni Mbeya au Tunduma.Natoa laki mbili kwa atakaenitafutia kazi sheli au yeyote nzuri
Ndio na hamna hamna inabidi walipwe 350k ila ndio mpaka ununue kazi yaan uwalipe HR na wapuuzi wengine ndio wakuweke level hizo sasa wengine hawawezi kununua kazi ndio wanaishia hapo kwenye level ya kua watumwa kazi ngumu malipo mlo mmoja yaan unafanya kazi ngumu siku nzima malipo 3000, 4000 mpaka 5000 huo km si utumwa ni nini ? Na serikali yao ya kiduanzi imekaa kimya tu inaangalia raia wao wanaendelea kua watumwa ndani ya Nchi yaoAtleast kazi zao zingekuwa sio ngumu kiasi hicho!
Kiukweli huu ni utumwa na unyonyaji uliokithiri. Serikali yetu wao maslahi ya wananchi sio kipaumbele chao. Too bad!Ndio na hamna hamna inabidi walipwe 350k ila ndio mpaka ununue kazi yaan uwalipe HR na wapuuzi wengine ndio wakuweke level hizo sasa wengine hawawezi kununua kazi ndio wanaishia hapo kwenye level ya kua watumwa kazi ngumu malipo mlo mmoja yaan unafanya kazi ngumu siku nzima malipo 3000, 4000 mpaka 5000 huo km si utumwa ni nini ? Na serikali yao ya kiduanzi imekaa kimya tu inaangalia raia wao wanaendelea kua watumwa ndani ya Nchi yao
Hata mlipwe buku hiyo haituhusu na Kodi lazima mlipe.Na kwenye hiyo 7000 kuna makato Kibao , serikali watazame upya hili.
Mwamba umeongea point sana kila sehemu na kwenye kila kikundi wanasiasa huwa wanataka kuweka watu wao matokeo yake mambo huwa hayaendi kabisaHakuna umoja wa wafanyakazi imara, unakuta mkianzisha chama chenu, wanamapinduzi wanaingilia kati mchakato wanapindua meza na kupenyeza mtu wao. Mambo ndio yanaishia kuwa hivi.
Hivi ufanye kazi masaa 12 upewe 4,000 hiyo kazi utamaliza hata mwezi kweli? Si utakufa njaa?Kazi za viwandani sio kazi ni zaidi ya mateso, imagine unafanya kazi masaa 12 unapewa 4000 hapo bado hujatoa hela ya nauli, chakula na bado haubaki na hata mia.
Asilimia kubwa ni viwanda vya wahindi na waarabu ndio wanaongoza kwa kulipa malipo kidogo kwa wafanyakazi na sasa hivi wabongo nao wameanza kuiga kama wahindi na waarabu wanavyofanya
Kiusema kweli kazi ni ngumu nzito watu tunateseka alafu malipo yenyewe kidogo kwa kweli serikali naomba itusaidie wafanyakazi wa viwandani angalau tupate maslahi.
NB: Walio wahi kufanya kazi viwandani ndio wanajua mziki wake ukoje, kama una kazi yako yoyote unaona ina maslahi , viwandani usiende hakufai kabisa bora kuuza maji kariakoo
Kazi kani nicheki PM tuongeeOya Andaa kabisa laki mbili yangu ila kazi ni Mbeya au Tunduma.
Upo Tayari?
Buku ni kwa mwez mkuu ni 120k.Tukisema mtu analipwa 4000 Kwa siku inamaana ni 160000 Kwa mwez na huyo wa 7000 ni 210000
Au nimekosea? Ishu ni sababu wanalipwa Kwa siku 4000 Kwa siku ni ndogo je akilipwa 160000 Kwa mwez inatofaut gan???