Kazi za viwandani sio kazi, ni zaidi ya mateso

Ajira za bongo njia ni mbili tu.
Huwe mwaminifu uishie kwenye umasikini au ujiongeze ule maisha. Chagua utakachoweza
 
Siku wananchi mtakapoacha kuomba serikali na kujua maana ya uongozi ni nini, na kujua kwamba serikali haitakiwi kuombwa bali kuamrishwa ndiyo mtalipwa vizuri. Endeleeni tu kusema ''tunaomba serikali isikie kilio chetu'' muone kama kuna siku mambo yatabadilika.
 
Tuwapambanie walipwe zaidi, hao wauza matunda wanapataje pesa wakati kila mtu anauwa kitu hichohicho,alfu 20 kwenye matunda kuwa na huruma bro,huyo bodaboda hapati hiyo,Serikali inawajibu wa kupanga kima cha chini kwa siku isiwe chini ya 20,na walisimamie, yeyeto anae ajiri mtu kima cha chini kwa siku ni 20,000. kaangalie Zenji mbona wameweza na watu wetu wakiwa kule wanajiona wapo Dubai mshahara wa 20,000 kwa siku.
 
Nitarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…