Kazi zenye pesa zisizojadiliwa na vijana hizi hapa

Suala la kutapisha vyoo umenichanganya..maana kama huna zile gari za maji taka cjui utavutaje...au nyie ndio wale mnaosubir mvua inyeshe afu ndio mnafungua machember [emoji51][emoji34]mpaka tunakanyaga maji machafu
 
Kwa kuongezea tho labda out of topic,wanachuo wasomee ukutubi.
 
Kuna vile v mishikak vya mia mbil mia mbil ukianza kuvchoma kwa sku hukos 5000 faida naww umeshakula.
 

mr chopa karibu kwa ufafanuzi tafadhali!!
 
Mawazo mazuri sana ila tu angalizo kwa biashara yoyote ile inahitaji uvumilivu sana na kutokata tamaa, biashara mwanzo huwa inakuwa ngumu, maana unakuwa hauna base nzuri ya wateja.

Ila ukifanya kazi kwa uhakika au bidhaa yako au huduma zako zikiwa na kiwango kizuri, basi utasimama vizuri mda unavyoenda....
 
ukizibua choo bila kua na elimu ya uzibuaji utaloa mavi mkuu.
kila kazi inahitaji elimu, hata ufundi viatu usipokua na elimu yake utajichoma sana sindano.
Ha! ha! ni kweli. Ata kula kuna hitaji elimu sbb unaweza kosea ukaingiza chakula puani
 
Ha! ha! ni kweli. Ata kula kuna hitaji elimu sbb unaweza kosea ukaingiza chakula puani
Hata kichanga kinahitaj elimu ya kunyonya ziwa anapozaliwa. bwege we [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Safi kabisa...
Kuuza barafu
Kuuza karanga
Kuuza maji
Gardening
Kulima bustani...
 
Unadanganya umma hakuna hata kaz moja unayoifanya hapo
 
Kuzifanya hizo kazi mjini inabidi uwe kauzu kwelikweli maana vinginevyo itakuwa akitokea mtu anayekufahamu unakimbia kwenda kujificha then badae unarudi tena kwenye ofisi na saa zote unakuwa mtu wa machale machale,yaani wasiwasi haukuishi
Ukifanya kazi kama hizo, huwezi kupata mke.. Nani atampenda kijana mtapisha vyoo? Hizo ni kazi za wazee waliokwisha jichokea.
 
Kuzifanya hizo kazi mjini inabidi uwe kauzu kwelikweli maana vinginevyo itakuwa akitokea mtu anayekufahamu unakimbia kwenda kujificha then badae unarudi tena kwenye ofisi na saa zote unakuwa mtu wa machale machale,yaani wasiwasi haukuishi
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ukishaamua kua na kazi kama iyo alaf ukawa hivyo hamna mahali utafika utaacha tu hiyo kazi kwani huyo mtu akikuona anakulisha au anakulipia kodi ya nyumba mjini tena akipita unamkaribisha na biznez kadi unampa kabisa amna kujishtukia.
 
sawa ila inataka roho ngumu sana hasa kwa vijana tuliozaliwa mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…